chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Chadema nd imekufa hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nipo Sana labda wewe ndio umekuja leoLeo umekuja eh?
Hata ndoto pia tutasikia aseetutasikia mengi. sarakasi zimeanza!
Nina uelewa sana tuu...Umesoma mpaka mwisho nilichoandika? Nilikuwa specific Africa kwasababu ya African nature. Kama unauelewa mpana juu ya Siasa za kimataifa comparing to Africa's political nature utanielewa.
Hivi China liliwahi kuwa koloni la taifa lingine?[emoji23][emoji23][emoji23]eeeeh unajifananisha na China Taifa Lina miaka zaidi ya 40000.....mkuu au unachart umelala usingizini...
Tunawatambua kwa kauli zao na matendo yaoUna ushahidi gani kuwa shangazi ni shoga?
Haha kwanini ukauliza lile swari sasa, au ulikuwa unapima kutaka kujua what kind of person you want to deal with ahuh?!Nina uelewa sana tuu...
Unachosema ni sawa kamanda..lakini tunahitaji upinzani wa kweli na wa kizalendo ambao unakuwa positive kwa maendeleo ya Taifa..lakini kwa upinzani huu wa kushibisha matumbo na ubinafsi...nooo wayyyyy...! Its rubbish...tunajikinga kwenye mwavuli wa upinzani kumbe upinzani ambao una maslahi hinafsi...tutaendelea kweli..??? Mi nadhani kwa hali ya sasa na Rais huyu hatuhitaji upinzani...tufanye kama Wachina walivyoamua Rais wao aendelee mpaka awatakapoamua tena...Muda ni mwalimu mzuri sana. Wacha tusubiri tuone itakuwaje. Yote juu ya yote nachelea kusema kuwa hakuna maendeleo ya kweli pasipo upinzani.
Maana ya upinzani ni kukosoa na kushauri pale serikali inapoenda tofauti na vipaumbele/Sera juu ya taifa husika. Pasipo upinzani hakuna maendeleo ya kweli katika nchi za kiafrika.
Tanzania kwanza