Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu ni mgombea bora mara 100 ya Membe

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu ni mgombea bora mara 100 ya Membe

Membe anakuja upinzani baada ya kubwagwa 2015. Watu wa aina hii wakikarihishwa juice za chamwino hawakawii kusujudia minazi ya chamwino

Lazaro Nyalandu anajua nini anafanya na hana papara. CHADEMA kama chama makini naamini Lazaro Nyalandu anaweza kukiweka chama kwenye ramani kuliko huyu aliye katwa mkia

View attachment 1509475
Sio magu
 
Kwa aliyoyaongea Membe jana sioni kama hata yule PhD wenu anaweza kitu. Sema CCM mnategemea wale watu hoi 99% na Police
 
Mambo mengine hayahitaji akili kubwa sana. CCM ilizaliwa 1977 kutokana na TANU ambayo ilizaliwa 1954. Vyama vya upinzani vilianza kuzaliwa 1992. ACT imezaliwa 2014/15. Hao ambao hawajahi kupita CCM watatoka wapi. Ama unataka watoto waliozaliwa kuanzia 1992 ndio peke yao wawe upinzani? ACT ikikataa waliotoka vyama vingine, itabakiwa na watoto wenye miaka 5-6 tu - waliozaliwa wakati inaundwa!!
Mkuu akili za wafuasi wa "chama kile" wanazijua wenyewe.
Mfano tumeuona kwa RC mstaafishwa kipenzi ni wao hao walikuwa wakimsifia na ni wao haohao wanamponda kana kwamba hakuwa komredi kwao!!
 
Back
Top Bottom