Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Hakuna aliyetuma CCM wao wenyewe wanatetereka tuMie siamini kama Membe ametumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyetuma CCM wao wenyewe wanatetereka tuMie siamini kama Membe ametumwa.
Sio maguMembe anakuja upinzani baada ya kubwagwa 2015. Watu wa aina hii wakikarihishwa juice za chamwino hawakawii kusujudia minazi ya chamwino
Lazaro Nyalandu anajua nini anafanya na hana papara. CHADEMA kama chama makini naamini Lazaro Nyalandu anaweza kukiweka chama kwenye ramani kuliko huyu aliye katwa mkia
View attachment 1509475
Kwa aliyoyaongea Membe jana sioni kama hata yule PhD wenu anaweza kitu. Sema CCM mnategemea wale watu hoi 99% na PoliceMembe anakuja upinzani baada ya kubwagwa 2015. Watu wa aina hii wakikarihishwa juice za chamwino hawakawii kusujudia minazi ya chamwino
Lazaro Nyalandu anajua nini anafanya na hana papara. CHADEMA kama chama makini naamini Lazaro Nyalandu anaweza kukiweka chama kwenye ramani kuliko huyu aliye katwa mkia
View attachment 1509475
Mkuu akili za wafuasi wa "chama kile" wanazijua wenyewe.Mambo mengine hayahitaji akili kubwa sana. CCM ilizaliwa 1977 kutokana na TANU ambayo ilizaliwa 1954. Vyama vya upinzani vilianza kuzaliwa 1992. ACT imezaliwa 2014/15. Hao ambao hawajahi kupita CCM watatoka wapi. Ama unataka watoto waliozaliwa kuanzia 1992 ndio peke yao wawe upinzani? ACT ikikataa waliotoka vyama vingine, itabakiwa na watoto wenye miaka 5-6 tu - waliozaliwa wakati inaundwa!!