Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

Better late than never! Hakika watu wenye mawazo ya Nyalandu wanaweza kuwa wengi ndani ya CCM ila unafiki unawaponza.
 
Hoja nzuri sana ila bwana huyu pamoja na mambo mengine njaa inamuwashawasha
 
Nyalandu ufipa wanakusifia ila ukitoa wazo tofauti la lao ujiandae kwa matusi as well maana mwenzio Nape juzi katoa maoni yake lkn matusi yaliyofuata hapo daah angekuja mgeni asingeamin kama huyu jamaa walikua wanamuita mzalendo
 
Uraia pacha pia usisahaulike kwenye katiba "mupya"
 
Baada ya kuumwa njaa ya madaraka ndio anakumbuka kuwa Rasimu ya Warioba ni muhimu, kipindi kile hakujua kabisa au pengine hakuwa Bungeni....Siasa buanaaa
 
Kukwama kwa mchakato wa katiba mpya ni mpango wa Mungu; aliwainua watumishi wake kuapa hadharani kuwahubiria watu wake kuikataa katiba pendekezwa. Kisha Mungu akawaonyesha watu ishara kuwa hata ile rasimu ya Warioba isingetosha. Mungu atusaidie sana.
 
Ivi kweli akili inakuja baada ya kutokuwepo kwenye system?
 
Nitakuhrshimu sana kiongozi ukiweza Fanya usubutu huo , Tanzania kwanza ccm badae
 


Kam kitilia Mkumbo,
by the way U-Smart hautoshi bila kuw ana Knowledge amabyo inaleta WISDOM,
so WISDOM ni kilakitu.
 
Mbona mnaogopa mchakato wa Katiba mpya
Nyie mnataka kuendesha Taifa hili bora liende tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…