Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, tulianza TarimeUkombozi sio jambo la wakati mmoja kaka zenu Arusha, Kilimanjaro, Mbeya tulisha watangulia kufungua njia
KabisaNi kweli
Hiyo picha yako mkuu ni hatari sanaKabisa
Nitakuhrshimu sana kiongozi ukiweza Fanya usubutu huo , Tanzania kwanza ccm badaeView attachment 612569 View attachment 612568 Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu
NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).
(Pichani, nikiwa Kijijini Mgori, [HASHTAG]#SingidaKaskazini[/HASHTAG], jana wakati wa hafla ya sherehe za Mahafali ya Kidato cha IV, Sekondari ya Mwanamwema Shain)
[HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]
Anatafuta kufutwa uanachama na Baba Bashite.[/QUOTE
Singida ina watu smart ...ukombozi wa nchi hii utaletwa Na vijana wa singida.
sharti waungane wawe kitu komoja...mwigulu..na wenzako acheni ujinga unganeni Na wenzenu lazaro Na lissu muisaidie hii nchi.
huoni mnavyoaminika hata ts mmejaa wasingida
amkeni muisaidie hii nchi
Mbona mnaogopa mchakato wa Katiba mpyaNyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu