Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

'I WONDER EVEN OUR CREATOR GIVE US FREEDOM OF CHOICES BUT HE STILL LOVE US ALL"
 
Wanaharakati wa ccm bwana mi wananiachaga hoi sana...

Mtu akipokonywa cheo fulani huanza kujifanya mwanaharaki...
 
Naunga mkono hoja, ingawa nina mashaka na huyo mwasilishaji wa hoja.
 
Hakuna atakaye kubali kushitakiwa baada ya kustaafu watavuluga tena kuokoa pesa za bunge hilo tuache
 
Hivi anaweza kukaa meza moja na Nkamia wakajadili hoja za chama kweli?
 
Nyalandu sidhani kama anafikiri sawasawa. Suala la Katiba haliwezi kuanzishwa na mtu mmoja Bungeni au nje ya Bunge. Akitaka afanikiwe ni lazima lianzie kwenye sera za chake kwanza. Lakini kama chama chake hakitopokea mapendekeo yake na yeye anaamini yuko sahihi anapaswa kujiondoa kwenye chama hicho ili aende kwenye chama ambacho kitabeba ajenda hiyo ya Katiba Mpya.
 
Naam naunga mkonyo hoja, hili suala la katiba mpya sio la wapinzani peke yake
 
Haki ya Mungu Walahi

Subiria tu atagusa maslahi yako pia kama wakati ule Jf inapelekwa mahakamani unaanza kulia lia VoA oh mimi ni mmoja wa waanzilishi wa Jf sijui nini

Nimeamini mtu mzima anapozeeka anarudi kwenye utoto wewe ndio upo kwenye hiyo phase sasa
 
Kwa hili nakuunga mkono kwa asilimia zote Mbunge wangu.
 
Naiona Tanzania mpya inakuja kwa mbali.
 
Anatafuta kufutwa uanachama na Baba Bashite.
Matumbo yamekuwa tatizo juu ya mustakabari wa watanzania,tunahitaji watu kama wasiojari mustakabari wa matumbo yao.
Kama ni vyama vipo vingi na kama wote watajitolea hawana ubavu wa kuwatosa.
 
Dah.... Alijua atapata UPM akakosa.... akasubiri uwaziri akakosa...akakosa hata uDC....wakati ndoto zake za kimarekani zilikuwa ni uraisi...bado kidogo ataokota makopo[emoji41] [emoji41] [emoji87] [emoji13]
 
Sema tatizo akipewa uwaziri ataendelea na hii movement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…