View attachment 612569 View attachment 612568 Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu
NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).
(Pichani, nikiwa Kijijini Mgori, [HASHTAG]#SingidaKaskazini[/HASHTAG], jana wakati wa hafla ya sherehe za Mahafali ya Kidato cha IV, Sekondari ya Mwanamwema Shain)
[HASHTAG]#PrayForTunduLissu[/HASHTAG]