Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 567
Amejipanga kumuondoa Lema Arusha nadhani. Lema jembe letu halitokiOhoooooo.... braza nyalandu sasa huko unakoelekea yani unamchefua mfalme ngosha kiasi ambacho hata kukupitisha kugombea tena ubunge 2020 usahau!!
Eti alikuwa waziri duu hata sheria ya kuandika katiba mpya hakuisoma. Ni upigaji kura ndiyo umebaki Ndungai atamtandika fimbo ya tumboniNyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu
Hataweza. Watamtimua
Kama hawawezi ni bora jambo lifanyike kwa sababu haitakiwi kuiabudu ccm. Bali kuwaheshimu na wao wafanye the same way.Unafiki sio kitu kizuri
Niishie kutoa stress tuAnatafuta kufutwa uanachama na Baba Bashite.
Hahaha umeonaeeeInaelekea Ukombozi wa nchi hii utaanzia Singida ..................!!
.Nyalandu sidhani kama anafikiri sawasawa. Suala la Katiba haliwezi kuanzishwa na mtu mmoja Bungeni au nje ya Bunge. Akitaka afanikiwe ni lazima lianzie kwenye sera za chake kwanza. Lakini kama chama chake hakitopokea mapendekeo yake na yeye anaamini yuko sahihi anapaswa kujiondoa kwenye chama hicho ili aende kwenye chama ambacho kitabeba ajenda hiyo ya Katiba Mpya.
Mtu anayesaidia watoto si wa kumuamini kabisa.
MM, wewe hujamstukia tuu anajaribu kuliweka jina lake juu juu ili asipotee kisiasa. Hana lolote huyu, we ona tuu; mara kusaidia watoto, mara kumtembelea Lissu, mara katiba yote hii ni kupapatika ili asipotee kwenye anga la siasa.
Ok mkuuNiishie kutoa stress tu