Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

Lazaro Nyalandu: Nitapeleka muswada binafsi kurudisha mchakato wa katiba ya Warioba ili tupate katiba mpya

Wanatufanya hatunazo
.....Hamjaelewa.anataka itungwe sheria ya kuruhusu rasimu ya katiba kabla ya kupigiwa kura ya maoni irudishwe bungeni ili kuangalia uwezekan wa kuanza upya .
Kwa hiyo mswada huo utasomwa mara ya kwanza utaletwa kwa wadau sio leo hiyo ? halafu unasomwa mara ya ya pili sio leo ?
hiyo ukipita sheria inatungwa na kusainiwa na ....sio leo hiyo ?
Bunge la katiba liitishwee na ... wajumbe wanateuliwa na kuitishwa sio leo hiyo ..wakajadili mbili au tatu ? na acheni masihara
 
Ameamka usingizini huyu kaka yetu ,wachaturu huwa hatulali mda mrefu ,asante kwa kujitambua
 
Ohoooooo.... braza nyalandu sasa huko unakoelekea yani unamchefua mfalme ngosha kiasi ambacho hata kukupitisha kugombea tena ubunge 2020 usahau!!
Amejipanga kumuondoa Lema Arusha nadhani. Lema jembe letu halitoki
 
Nyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu
Eti alikuwa waziri duu hata sheria ya kuandika katiba mpya hakuisoma. Ni upigaji kura ndiyo umebaki Ndungai atamtandika fimbo ya tumboni
 
Naona Nyalandu anaweza kupewa kesi ya kuhujumu Uchumi soon maana Awamu ya Tano ukiongea ukweli unapewa kesi ya kuhujumu uchumi au risasi
 
Nyarandu upo vzr xana iokoe Tz kupitia katiba ya Warioba,ci katiba waliochakachua wakapitisha ili kuikandamiza nchi.
 
Yote yawezekana lakini zipo nyingi,hiyo hadi ipate baraka za spika,watamkatiza tu,kwa kuwa yeye Nyarandu sio msemaji wa chama,bado kuna kanuni za bunge.Wish you all the best
 
Nyalandu sidhani kama anafikiri sawasawa. Suala la Katiba haliwezi kuanzishwa na mtu mmoja Bungeni au nje ya Bunge. Akitaka afanikiwe ni lazima lianzie kwenye sera za chake kwanza. Lakini kama chama chake hakitopokea mapendekeo yake na yeye anaamini yuko sahihi anapaswa kujiondoa kwenye chama hicho ili aende kwenye chama ambacho kitabeba ajenda hiyo ya Katiba Mpya.
.
MM, wewe hujamstukia tuu anajaribu kuliweka jina lake juu juu ili asipotee kisiasa. Hana lolote huyu, we ona tuu; mara kusaidia watoto, mara kumtembelea Lissu, mara katiba yote hii ni kupapatika ili asipotee kwenye anga la siasa.
 
.
MM, wewe hujamstukia tuu anajaribu kuliweka jina lake juu juu ili asipotee kisiasa. Hana lolote huyu, we ona tuu; mara kusaidia watoto, mara kumtembelea Lissu, mara katiba yote hii ni kupapatika ili asipotee kwenye anga la siasa.
Mtu anayesaidia watoto si wa kumuamini kabisa
 
Back
Top Bottom