Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooooo.... braza nyalandu sasa huko unakoelekea yani unamchefua mfalme ngosha kiasi ambacho hata kukupitisha kugombea tena ubunge 2020 usahau!!
Sio leo au kesho kwa hawa wabunge!Ifikie wakati wabunge wa sisiemu wajitambue sasa.. Wanaona sasa kwamba hata wao hawako salama..
Huyo ni Nyarandu ama NyalanduBunge la katiba lilishaipitisha huwezi rudisha mchakato nyuma tena kinachosubiriwa ni kura ya maoni Ya wananchi wa bara na visiwani kupiga kura Kama hiyo katiba ambayo iliridhiwa Na bunge la katiba lenye wawakilishi wa wananchi wanaitaka au la. Tume ya warioba ilikuwa kazi kukusanya maoni tu na kuyapeleka kwa wawakilishi wa wananchi yaani wabunge waiangalie wajadili na waje na rasimu ya bunge wakiipitisha raisi aipeleke kupigiwa kura na wananchi wote waseme yafaa au la. Wengi hawaelewi kazi ya tume ya warioba ilikuwa Nini. Ilikuwa kukusanya maoni tu ambayo si lazima bunge likubaliane nayo. Na hilo si mara ya kwanza bunge kupiga chini maoni ya tume au kuyarekebisha. Mfano iliundwa tume ya kukusanya maoni ya wananchi Kama wanataka kuingia mfumo wa vyama vingi au la wabaki na chama kimoja Asilimia 80 walikataa kuwa hawataki vyama vingi bunge lilipopelekewa likakubali maoni ya wachache waliotaka mfumo wa vyama vingi likatunga sheria ya kuruhusu vyama vingi. Tume ya maoni sio Final!!!! Ya tume ya warioba yalishapita!!! Hiyo hoja hata ikipelekwa itaenda tupwa shimo la choo cha bunge
Muwasho kama wa msingida mwenzakeHuu ni muwasho kutoka singida, yetu macho, huu mchezo hautaki hasira.
Ukombozi sio jambo la wakati mmoja kaka zenu Arusha, Kilimanjaro, Mbeya tulisha watangulia kufungua njiaInaelekea Ukombozi wa nchi hii utaanzia Singida ..................!!
Nyalandu tunamuunga mkono,ile rasimu ya Lumumba haikubalikiNyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu
Kwahiyo hilo ndio linakutoa roho, suala la mwehu mkamia ukaliona na maana. Poleni sana, na bado kunazidi kucha!!Nyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.
Mchakato ulifikia hatua ya kupiga kura ya maoni,na waliopitisha kwa wingi ni wao wabunge,simuelewi anavyotaka kurudi reverse,kisheria tunangoja tu kura ya maoni.
Ni kura ya hapana tu itarudisha upya mchakato,Nyalando usitake kutuharibia nchi kisa tu umenyimwa uwaziri,mbona hukusema haya wakati unauza vitalu
Katiba pendekezwa ya Kikwete hivi ina uhalali wa kupigiwa kura ya maoni kweli?Hatuhitaji kura ya maoni kwa Katiba pendekezwa ambayo kimsingi haina maana yeyote. Ni kupoteza fedha bure. Mchakato wa kuipitia Katiba Upya uanze tukiongozwa na maoni ya wananchi yaliyomo kwenye Muswada wa Katiba maarufu kwa jina la Warioba.
Amegundua ndipo kick ya kisiaaa ilipoNyalando nadhani anaelekea kurukwa na akili.