Ccm mngekuwa mnaongea hii lugha siku zote nchi ingekuwa mbali
Ila mkishakaa meza ya chakula,mnaogopa kuongea kwa kuwa chakula kinaweza kuruka kutoka mdomoni kikawadondokea wakubwa,na wakubwa huwa hawataki kelele wakati wa kula
Ila karibu kwenye movement Nyalandu,mtaji wako ni wananchi,si lazima iwe chama
Na ccm wengine pia,kadri nguvu ya ccm inavyopungua ndivyo mnavyokuwa huru na kupata uhakika na amani, sasa chama kinawatisha,oneni kenya,wanakwenda huku au kule,chama utakacho,hutishiwi kupelekwa mahakamani,kusingiziwa,kuchafuliwa