Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono 100%.Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosaMbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu?Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.