Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

Mimi nahisi huko nyuma mambo yalikuwa tofauti kwao na kwa wananchi kutokana na maisha n. K ila now wananchi wamekuwa watu wasio na kauli za kusikilizaa laaaabda ndio maana wameona nivema tuwasaidie wananchi au umemuelewaje
CCM ndicho chama pekee chenye maadili kwa sasa. Wapinzani ni waganga njaa. Wamejaa unafiki, wanapiga mtu risasi ili wamuue na iliposhindikana wakamuondoa ili wakampange kuwa eti ili ionekane wanamsaidia kumbe wanamdanganya.
 
Simama kwenye mada nyalandu kudia katibu mpya now yuko sahihi hivyo plopogand nyingine con kama ni mada yake
 
Simama kwenye mada nyalandu kudia katibu mpya now yuko sahihi hivyo plopogand nyingine con kama ni mada yake
Nyarandu ana matatizo ya uzinzi kichwani mwake, kudanganya wazungu wanampa hela kusema anashule za kusaidia watotot yatima kumbe ana lamba na hiyo hela imemfanya mpaka kuhongo ubunge a.k
 
Usemacho Al-watan ni kweli kabisa wala sipingi, lakini kama kweli wewe unakerekwa na jambo si utoke nje ya hiyo "system" inayokubana usisubiri mpaka utolewe. Asingetolewa asingeyasema hayo ayasemayo.
 
Kuna kiongozi pekee wa chadema simkumbuki jina lake alishangilia Nape kufukuzwa kazi,akamshukuru Mungu,bavicha wanamsifia mtu alie na kinyongo cha kuukosa uwaziri!
Kikwete alisaidia hata wasiostahili msaada
 
Mwambie ajiandae kisaikolojia
Wamwambie kuwa raisi wa wabongoman hajalibiwi, na leo amekutana na kamati kuu ya CCM ikulu...

Wanaompa kichwa watamponza.. Huku sio ulaya. Demokrasia afrika ilishafeli...
 
Nyarandu ana matatizo ya uzinzi kichwani mwake, kudanganya wazungu wanampa hela kusema anashule za kusaidia watotot yatima kumbe ana lamba na hiyo hela imemfanya mpaka kuhongo ubunge a.k
Jamani mbona xkuelewiiii hivi ww ni me au ke maana nimegundua kitu kwako hebu jibu kwanzaa au unampenda nyalandu ?
 
Jamani mbona xkuelewiiii hivi ww ni me au ke maana nimegundua kitu kwako hebu jibu kwanzaa au unampenda nyalandu ?
Mwambie nyarandu arushe hela za misaada za wazungu wake
 
Usemacho Al-watan ni kweli kabisa wala sipingi, lakini kama kweli wewe unakerekwa na jambo si utoke nje ya hiyo "system" inayokubana usisubiri mpaka utolewe. Asingetolewa asingeyasema hayo ayasemayo.
Inawezekana ukakerwa na jambo moja halafu ukaona unaweza kubadilisha mengine mia moja vizuri tu.

Utatoka kwa sababu ya jambo moja?

By the way simtetei Nyalandu, nachambua hoja tu.
 
Reactions: bbc
Huyu nae ana washwa washwa tuu....kwani kwenye mchakato wa katibu alikuwa na cheo gani?

Rais alishasema swala la katiba si kipaumbele kabisa kwa sasa...
Kwanza katiba mpya haina msaada wowote ule....
 
Mwambie nyarandu arushe hela za misaada za wazungu wake
Haya mama atakuwa anakusoma ila jaribu uwe unasimama kwenye mada maana hivyo ujijengi unazidi kuonekana mtu wa plopoganda tu
 
Katiba katika nchi yoyote ndio msahafu kama wa vitabu vya dini kwa waumini. Viongozi wa kiafrica hutawala kwa mizengwe. Katiba mpya nchini haitakuja kwa utashi wa viongozi, wanafaidika na iliopo. Ni pale wananchi watakapoidai kwa nguvu.
 
Wengi waliitaka ile rasimu ya warioba ipite, lakini agizo la chama lilikuwa ni kuipinga, na ukizingatia ilikuwa karibu na kampeni za kuutaka uraisi, hivyo wengi walikubali tu kufuata mkumbo wasionekane wasaliti

Hautoshi kuwa utetezi wa usaliti wake kwa katiba ya wananchi!
 
Magufuli mwenyewe wakatianahubiri maendeleo bila vyama, hapo hapo anaendekeza siasa chafu za vyama.

Anawachota akili tu watu wanaopenda kupewa majibu rahisi kwa maswali magumu.
 
Wabunge wenye kutoa ushauri na maoni kama haya ndani ya ccm ni wasaliti wa nchi
 
Bila shaka la tone, huyu wakuu siyo riziki huyuuu.....msameheni buree
 
Oyeeeeeeeeeeee. Tena Mkuu ungemalizia kabisa kuwa wasaliti katika Taifa letu hawastahili kuishi. Period......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…