mzalendo.com
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 427
- 301
Wasomi watakubaliana nae ila wajinga watapinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndicho chama pekee chenye maadili kwa sasa. Wapinzani ni waganga njaa. Wamejaa unafiki, wanapiga mtu risasi ili wamuue na iliposhindikana wakamuondoa ili wakampange kuwa eti ili ionekane wanamsaidia kumbe wanamdanganya.Mimi nahisi huko nyuma mambo yalikuwa tofauti kwao na kwa wananchi kutokana na maisha n. K ila now wananchi wamekuwa watu wasio na kauli za kusikilizaa laaaabda ndio maana wameona nivema tuwasaidie wananchi au umemuelewaje
Simama kwenye mada nyalandu kudia katibu mpya now yuko sahihi hivyo plopogand nyingine con kama ni mada yakeCCM ndicho chama pekee chenye maadili kwa sasa. Wapinzani ni waganga njaa. Wamejaa unafiki, wanapiga mtu risasi ili wamuue na iliposhindikana wakamuondoa ili wakampange kuwa eti ili ionekane wanamsaidia kumbe wanamdanganya.
Nyarandu ana matatizo ya uzinzi kichwani mwake, kudanganya wazungu wanampa hela kusema anashule za kusaidia watotot yatima kumbe ana lamba na hiyo hela imemfanya mpaka kuhongo ubunge a.kSimama kwenye mada nyalandu kudia katibu mpya now yuko sahihi hivyo plopogand nyingine con kama ni mada yake
Usemacho Al-watan ni kweli kabisa wala sipingi, lakini kama kweli wewe unakerekwa na jambo si utoke nje ya hiyo "system" inayokubana usisubiri mpaka utolewe. Asingetolewa asingeyasema hayo ayasemayo.Mawaziri wanafungwa na kanuni za "collective responsibility", hawatakiwi kusema tu wanachotaka nje ya vikao vya ndani serikalini kama wanachotaka kusema kinapingana na sera za serikali.
Ndiyo maana mtu anaweza kuonekana kakaa kimya akiwa waziri, akitoka anasema.
Inawezekana alikuwa anasema vikao vya ndani, lakini mawazo yake yanapingwa,akitoka vikao vya ndani kwa kanuni za "collective responsibility" hatakiwi kuipinga serikali akiwa bado waziri.
Wamwambie kuwa raisi wa wabongoman hajalibiwi, na leo amekutana na kamati kuu ya CCM ikulu...Mwambie ajiandae kisaikolojia
Jamani mbona xkuelewiiii hivi ww ni me au ke maana nimegundua kitu kwako hebu jibu kwanzaa au unampenda nyalandu ?Nyarandu ana matatizo ya uzinzi kichwani mwake, kudanganya wazungu wanampa hela kusema anashule za kusaidia watotot yatima kumbe ana lamba na hiyo hela imemfanya mpaka kuhongo ubunge a.k
Hiv slow slow nae ataunga mikono???Alipokuwa kwenye "system" hakuuona umuhimu huu ila sasa kwa kuwa yuko nje ndo anauona!
Mwambie nyarandu arushe hela za misaada za wazungu wakeJamani mbona xkuelewiiii hivi ww ni me au ke maana nimegundua kitu kwako hebu jibu kwanzaa au unampenda nyalandu ?
Inawezekana ukakerwa na jambo moja halafu ukaona unaweza kubadilisha mengine mia moja vizuri tu.Usemacho Al-watan ni kweli kabisa wala sipingi, lakini kama kweli wewe unakerekwa na jambo si utoke nje ya hiyo "system" inayokubana usisubiri mpaka utolewe. Asingetolewa asingeyasema hayo ayasemayo.
Haya mama atakuwa anakusoma ila jaribu uwe unasimama kwenye mada maana hivyo ujijengi unazidi kuonekana mtu wa plopoganda tuMwambie nyarandu arushe hela za misaada za wazungu wake
Wengi waliitaka ile rasimu ya warioba ipite, lakini agizo la chama lilikuwa ni kuipinga, na ukizingatia ilikuwa karibu na kampeni za kuutaka uraisi, hivyo wengi walikubali tu kufuata mkumbo wasionekane wasaliti
Magufuli mwenyewe wakatianahubiri maendeleo bila vyama, hapo hapo anaendekeza siasa chafu za vyama.Kuna mstari mmoja ambao tukiweza kuuvuka wa Tz tutapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kama anavyosema JPM uvyama vyama! Amini nawaambia adui mkubwa wa amani,utulivu na hata maendeleo nchini kwetu si udini wala ukabila. Adui ni vyama vyetu vya siasa vilivyotufunga akili zetu kwenye box.
Kwamba mtu kama si wa chama chako, lolote alisemalo au atakalotenda hata kama ni kwa maslahi mapana ya nchi ni rubbish! Damu za watu zimemwagwa na zitaendelea kumwagika sio kwa udini wala ukabila ila sababu ya uvyama
Natamani mheshimiwa Rais anapolikemea suala hilo aende mbali zaidi, avunje huu unyanyepa wa kivyama kwa vitendo na kwa dhati kabisa maana yeye anayo nafasi ya kipekee kuanzisha hilo
Bila shaka la tone, huyu wakuu siyo riziki huyuuu.....msameheni bureeHakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.
Oyeeeeeeeeeeee. Tena Mkuu ungemalizia kabisa kuwa wasaliti katika Taifa letu hawastahili kuishi. Period......!Hakuna anayepinga uwepo wa katiba mpya, ila je vipaumbele vyetu kama taifa kwa sasa ni vipi?? Je ni demokrasia au ni ufaidikaji na rasirimali zetu? In short katiba mpya kwa sasa siyo agenda ya taifa, maana hata ukiwa na katiba mpya kwa jinsi baadhi ya viongozi wa upinzani (akiwemo na yeye huyu mnafiki nyalandu) uelewa wao wa mambo ni mdogo sana tena sana, na wanaendeshwa na matumbo yao, yaani kama kuna kitu kinashibisha tumbo lake basi atalalia huko huko, ila kama kuna kitu kinasababisha njaa tumbo lake basi atakipinga kweli kweli. Viongozi wetu wa upinzani hawajitambui kabisa, yaani uelewa wao unaendeshwa na ubinafsi na siyo maslahi mapana ya taifa. Wanataka vile wanavyovitaka wao na siyo inavyovitaka Tanzania, na ndiyo maana kwa kizazi chetu kamwe tusitegemee upinzani kushindwa uchaguzi wa rais au kuongoza serikali, maana akili zao zinawaza matumbo na ubinafsi. Yaani mpaka wachungaji akina Mh. Msigwa hela imewatawala na siyo Tanzania. Wapinzani wetu (including Nyarandu) wapo tayari kushirikiana na mataifa maadui zetu ili kufanikisha ajenda zao. Mungu alisha walaani wapinzani wa Tanzania, na laana hiyo ikae juu yao kwa usaliti na uzandiki. Mungu Mbariki sana tena sana Dkt Magufuli na CCM yetu.