tusionacho
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 274
- 514
Kumbe msopojipendekeza CCM akili zenu zinakua nzuri safi Nyalandu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongea anachokiamini.Maana kuna wengine wanaaminiHuyu leo katika kikao chao hicho lazima awepo kwenye Agenda.
Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Unafiki kwa wabunge wetu wa chama chao cha kijani unazidi mipaka yaani unakereka mpaka basi huyu ni mnafiki to the highest level.Wakati mchakato ulipo pelekwa bungeni huyu mkuu alikuwa Waziri, wakaikoroga wanavyo taka wao. Sasa katiba imembana anataka kutuaminisha kivingine... Hii ni kujifunza kutokana na makosa
impact ya unafiki ishaanza kuwatafuna unakumbuka walivyoshangilia kipindi kile. sasa waje tuongee lugha mojaBila kujali uchama aluchokisema ni kweli. Ifikie kipindi iwe utaifa kwanza chama baadae.
Alikwina?Mbunge Nyalandu asema Tz inahitaji katiba mpya ili mihimili iwe na mipaka iliyowazi na kuwepo kwa uangalizi wa Bunge, Mahakama na Serikali.
Ndiyo unayajua leo?! Lumumba bhaana!!!lazaro katika ubora wake na twiga kupanda ndege