Angepewa alichokitaka sasa hivi ingekuwaje maana tayari yupo CCM. Au alitaka madaraka ndipo abaki? Unampaje uongozi malaya wa kisiasa kama huyu?Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?
Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais