Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?

Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais
Angepewa alichokitaka sasa hivi ingekuwaje maana tayari yupo CCM. Au alitaka madaraka ndipo abaki? Unampaje uongozi malaya wa kisiasa kama huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…