Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

Binafsi nimekuelewa. Hivi mshahara wa TISS hautoshi hadi akimbilie ubunge??????

Kuna nini kwenye ubunge????

Bashite na Gambo wameacha VX 8 za uRC kisa ubunge!

Lazima tujiulize sana kuna nini kwenye ubunge.

Kazi ya Ubunge haisumbui akili, unapiga bla bla tuu, unapata mshahara mkubwa na posho lukuki na baada ya kila miaka 5 unapata mamilioni ya kiinua mgongo, wenyewe wanakiita gratuite. Ni hivyo tuuu, kazi ya hovyo na rahisi isiyotumia akili hata chembe.
Ndiyo maana utawakuta huko mapro madokta hadi darasa la 7 na wachawi na kila tabia, machangu n.k
 
Yaani kudhihirisha kwamba huyu mwamba ni MAFIA kweli hadi wadau humu ndani wameshindwa kutupia picha yake. Naona picha 2 tofauti.
 
Yaani kudhihirisha kwamba huyu mwamba ni MAFIA kweli hadi wadau humu ndani wameshindwa kutupia picha yake. Naona picha 2 tofauti.
Huyo ni Hatari sana,hafai katika jamii ,Dr Ulimboka anamjua vizuri sana! Ni Mafia hapigi picha kabisa ili akifanya matukio iwe ngumu kumjua na kumtrace!! Jiwe anataka kumleta bungeni akamilishe Ngwe yake ya pili ya kuwanunua wapinzani wote!! Mission zao zimefeli Oct 28 wanachinjiwa baharini wote GAIDI na JIWE.
 
Ramadhani Ighondu
TISS mbobezi huyu.
Bila shaka huyu ndiye alihusishwa na utekaji wa akina Ulimboka. Na alitajwa sana na gazeti la Mwanahalisi kuwa alihusika na masakata ya waandishi wa habari kupigwa awamu ya nne. Na hata kwenye kukivuruga chadema. Rejea "waraka wa MM1" enzi zile.
 
Sasa huyo gaidi ataenda kuomba kura kwa Nani kama alimtekamtu anayetetea afya Za wananchi?
Labda akaombe kura makaburi

Unamdhuru Docta? Mtu ambaye kwa namna moja au nyngine yupo kwenyebenchi la ufundi la Muumbaji.
Au wew hutakaa uumwe? Shit!
Mkuu mimi siyo shabiki au muumini wa kuoana kucha lakini lile suala la kugoma madaktari liliuwa watu wengi kuliko kuzuwia vifo.
Rafiki yangu alipoteza mtoto pale MNH sababu ya kukosa huduma wakati wa mgomo.

Kwa upande mwingine kama akina Bwana Rama walimbinya muongoza mgomo na mgomo ukaishia hapo wameokoa watu wengi sana.
 
Hivi Nyalandu alisharudisha Twiga wetu?
Tumeshasahau kama walienda holiday na Aunty Ezekiel kwa kutumia pesa walipa kodi eti kwa kisingizio wanatangaza utalii.

Ila kumbuka akienda kule kuna DODOKI na unaonekana MALAIKA.

Wallah Tanzania si hami Ngo!
 
Huyu Ramadhan Ighondu ni muuaji, Lazaro awe makini Sana.
 
Mkuu we acha tu, hii nchi ngumu Sana. Hivi vyama vyote vya siasa ni matawi, nimeshangaa eti hawa jamaa wamewahi ongozwa na mwenyekiti wa vijana kutoka pale Eagle.
Ndiyo katambi alivyo shindwa kurudisha fomu tu 2015 ya ubunge nikajua uyu sio kirembo sana mara katekwa ata aliyepo asaivi pambalu nae hakuna kitu mazee
 
jIDANGANYENI MKIDHANI WATU WAMELALAAAAAAAA KIHIVYO
Tujidanganye na nani,watu hawali sgr sijui flyova,hawajalala wanajua manyanyaso ya traffic na tra,wanajua watoto wao wamelundikana madarasani kama wako zizini ,wanajua wamama wanalala wawili wawili mahospitali..ccm wakijenga hospital 1 wakati zinahitajika 10 wanasema wameleta maendeleo,labda wajinga tuu ndio wanaweza chagua ccm..
Bila wizi wa kura ccm hamuwezi kupita,yaani nina kama sababu bilioni za kuonyesha kushindwa kwa ccm yako
 
Back
Top Bottom