Muuaji na mtekaji Ramadhani Ighondu, siyo mtu wa kupewa hata uongozi wa mtaa. Muuaji kwake ni gereza la Isanga.
Kumleta muuaji Ramadhani kuomba kura, ni kuwatukana wananchi. Hivi CCM na Rais Magufuli wanawaonaje wananchi? Ubunge umegeuzwa kuwa zawadi kwa wauaji na watekaji?
Lazima tukatae kufanywa roho zetu kuwa hazina thamani.
Kama haitawezekana kumtaja hadharani kuwa mtu huyu ni muuaji, zitafutwe mbinu ambazo zitawezesha kila mpiga kura wa jimbo hilo kuweza kutambua CCM imewalatea mgombea wa namna gani.
Sent using
Jamii Forums mobile app