Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Kabisa Mkuu. Haiwezekani mtu awe na mwiko nyuma, na bado awe na akili.Akili za nyuma mwiko bhana
🤣🤣Kabisa Mkuu. Haiwezekani mtu awe na mwiko nyuma, na bado awe na akili.
Hao mbuzi wakifika kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, wote watasombwa na kupelekwa Pemba huko. Kwa hiyo shida bado itabakia pale pale. 😁Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala wakuhakikisha kuwa lazima fainali hii kieleweke..
Mbuzi hao wanasafirishwa hao mpaka Zanzibar
Uzi tayari
View attachment 3341160