Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

I have a playlist, nikianza kuyarudi jason derulo haoni ndani.. nilishawahi kufumwa once aliyeniona kidogo asahau namna ya kupumua[emoji1]. Nikimaliza naanza kunywa maji huku miguu ikiwa juu kichwa chini.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
I have a playlist, nikianza kuyarudi jason derulo haoni ndani.. nilishawahi kufumwa once aliyeniona kidogo asahau namna ya kupumua[emoji1]. Nikimaliza naanza kunywa maji huku miguu ikiwa juu kichwa chini.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Wengi hapa hutoa kamasi then wanaiangalia,hujamba nakusikilizia harufu ikoje,kuingiza mikono kwny mbupu na then kunusa mikono kuona hali ikoje etc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…