Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😂😂😂😂😂😂🙌I have a playlist, nikianza kuyarudi jason derulo haoni ndani.. nilishawahi kufumwa once aliyeniona kidogo asahau namna ya kupumua[emoji1]. Nikimaliza naanza kunywa maji huku miguu ikiwa juu kichwa chini.