Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Kudokoa chakula alichoekewa baba au mgeni akitokea mama unajidai kuzuga....
Hasahasa kuwe na kitu cha nyama..weee [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hata Hii huwa na comment mwenyewe Bila watu kujua.... (nimewaambia Ila hamta ona jibu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…