Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Kunusa boxer au chupi baada ya kuivua either unaenda kuoga or unataka kurudia kuivaa kabla hujafua for both M&F

Halafu hiyo ya kutoka uchi bafuni ndo tabia yangu chumba chang kipo karbu na bafu so nyakat za uck nkioga natoka mbio hdi ndan siku moja acha ntelez kweny tiles
 
Kunusa boxer au chupi baad ya kuivua either unaend kuoga or unatak kurudia kuivaa kabla hujafua for both M&F

Alf hyo ya kutoka uchi bafuni ndo tabia yangu chumba chang kipo karbu na bafu so nyakat za uck nkioga natoka mbio hdi ndan siku moja acha ntelez kweny tiles
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni tatizo
 
😀😀😀😀
Kunusa boxer au chupi baad ya kuivua either unaend kuoga or unatak kurudia kuivaa kabla hujafua for both M&F

Alf hyo ya kutoka uchi bafuni ndo tabia yangu chumba chang kipo karbu na bafu so nyakat za uck nkioga natoka mbio hdi ndan siku moja acha ntelez kweny tiles
kama mm hua na hesabu moja...mbili.. Tatuuuu...alafu ndukiii... Nikiwa uchii
 
1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.

2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.

3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa, na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!

4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk) ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!

5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia unaonekanaje!

6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu

Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
Kujamba kwa silencer, hii wengi wanafanya!
 
Back
Top Bottom