Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Sijajua kwa wanaume ila binafsi napenda sana tena nkitoka kuoga naeza kumaliza lisaa zima katika kioo
Naelewa sana hulka zenu mana unakuwa unajithaminisha umbo lako na ndio maana wapiga picha za utupu hata katika viungo vya uzazi ni mabinti refer case za pc kuharibika na picha kugundulika za utupu. Binafsi picha ya kifua wazi sijawahi
 
1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.

2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.

3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa, na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!

4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk) ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!

5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia unaonekanaje!



6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu




Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
Kijipiga dole kwenye haja kubwa hasa ukiwa na ule ugonjwa wa kuwasha kwa nje bawasira
 
Back
Top Bottom