Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji533] [emoji97] [emoji97] [emoji97] CHAPUTA nilisahau...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji106] mi nafanyaga nikiwa mtupuKukata viuno/kudance mbele ya kioo
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki nimecheka maana ndio tukio nimetoka kufanya[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kupiga GUITAR😀😀😀😀
daah..!! Hatari yani huku ukiwa unawaza ya kesho
Kuishi mwenyewe ni nusu uchizi wakati mwingine daaah!!Hahaha
Shogaaa mie hiyo napenda kweeli
#5&kusimama naked mbele ya kioo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukiwa unakula peke yako nyama ikidondoka chini unaichukua unaila ila mkiwa wengi unazuga na kuitupa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We utakuwa shogaa si bure
kumbe kuna watu wanakula kucha za miguuniHahahaa hata mimi nilikuwa nakula zamani, siku hizi nimenenepa nashindwa kujikunja.
Wapokumbe kuna watu wanakula kucha za miguuni
MkuuHahahaa yaani mpaka mtu unashindwa kushika vitu vizuri, kuoga au kufua. Hii hali ya kula kucha sijui inasababishwa na nini?
Ya kweli hayo ??Aiiiiiiii Smart911 love naona aibu eti haha jana ulinipa uhuru wa kufanya kufuru love thankxxxxxxxxxx