OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Unayavutia majini mahaba..Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayavutia majini mahaba..Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
Duh una hatari.Kujipiga picha nyuchi
Ntakuwekea kamera kinyemelaKucheza uchi mbele ya kioo..!!
hahahahahahaKutembea uchi nyumba nzima ani
Hafu najaribugi act za kitoto sana
Ile michezo yangu yote ya utotoni naifanya
Hata hii koment nipo mwenyewe home , nipo chini ya uvunguni ryt now !!
hahah we ni chizKucheza uchi mbele ya kioo..!!
😆😆😆😆😆 we mxenge mchawi niniWengi hapa hutoa kamasi then wanaiangalia,hujamba nakusikilizia harufu ikoje,kuingiza mikono kwny mbupu na then kunusa mikono kuona hali ikoje etc
Kukausha boxers kwenye microwave.
Kula ugali na vijiti kama mchina.Mimi napenda kunywa maji kwa kutumia jagi. Yaani bila glasi wala kikombe.
Wewe je?
Kucheza uchi mbele ya kioo..!!
Halafu mna twerk kidogo and stuff like that...Mi pia [emoji23][emoji23]
Kula ugali na vijiti kama mchina.
[emoji23] the weird things we do.Freakin strange