Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Hahaha mimi hapana aise. .sipo kwenye hilo group
Wengi hapa hutoa kamasi then wanaiangalia,hujamba nakusikilizia harufu ikoje,kuingiza mikono kwny mbupu na then kunusa mikono kuona hali ikoje etc
 
Kusimamisha mtalimbo na kuucheki kwenye kioo cha kabati nikiwa nude kwa bed [emoji38][emoji38][emoji38] napata feeling kama za wale wahuni wa brazzers
Aise mimi huwa najionea haya hata mimi mwenyewe. ..huwa siwezi kukaa uchi kabisa yaani ..Labda iwe ninaoga nina change clothes au nikiwa na sex basi ..ila kukaa ndani alone nikiwa mtupu. .aise siwezi kabisa
 
Hahaha Daah Bangi hizi
Nimiwa home alone napiga mayai manne ya kuchemsha baada ya muda naanza ...pyuuuuuuuu..mara buuuuuuuuuuu......halafu namalizia na taraaaaaaaaaaaaaaa..huwa nainjoy sana kujamba
 
Back
Top Bottom