Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

Msunbiji wameomba msaada kwa majeshi ya SADC ,na sasa wap huku vikosi vyte vimekamilika kuanza msako wa waasi .Jeshi la msumbiji liligawanyika na kuzidiwa na waasi
 
Mkuu GT utawaitaje hao magaidi Msumbiji waasi?!!
 
Tumia akili kidogo wewe, yake machafuko yanahusu kampuni ya TOTAL ambayo ndio ina mradi mkubwa sana wa kuchimba gesi/ mafuta huko Delgado. Sasa TOTAL ni kampuni ya ufaransa, na ufaransa na mizizi mikubwa sana nchi za Rwanda, Burundi, DRC nk. ila sio Tanzania, na kwa vyovyote huo msaada wa kijeshi si msaada kama unavyotajwa, lazima Rwanda walipwe na faida juu, sasa unadhani nani analipia hiyo vita kama si French TOTAL?

 
Tumeshaenda tayari..
 
Jamaa alifanya dharau kuwatumia mabeberu ila alikuwa akijua mkali wa hizi kazi ni Jei Wii toka TZ kwa aibu akaona amtangulize Mrwanda kisha ndio ajipendekeze kwetu!

Vijana wameenda kumaliza mzizi wa fitina kabisa wakitoka huko hali itakuwa ni shwari sana! Ila kwa sura za wale vijana niliowaona nina mashaka kama watakuwa na ari kama waliokuwa nayo baba zao akina Mwita🀣
 
Ufaransa ndo amewekeza kwenye mafuta hapo Mozambique
Ili asipata hasara anatumia koloni lake. Rwanda kuangalia masilahi yake
Ndo maana hii miungano sioni Fadi kabisa yaani mfarasa kapenya kaingia Hadi SADC ....

Wanachama Bado wapo vikaoni
 
Waanajeshi wa Rwanda wakienda kwaajili ya kulinda visima vya gasi vya kampuni za kifaransa Total ndio maana hata SADC haikukubaliana na huo mpango kwa sababu Rwanda sio mwanachama
Hivi kwa nini waasi hawakuyalipua hayo matank ya wafaransa au hawakupewa ruhusa na wakubwa wao wa Tz
 
Sadc walikua wanadengua dengua,wakadema dema wameona noma influence yao inaenda kupotezwa imebidi waende tu kuondoa aibu,waonekane nao walipiga kazi 😁😁😁😁

Majeshi ya South Africa, Botswana yana wiki 2 huko Mozambique lkn mpk Sasa hayajakamata hata nusu heka ya eneo la waasi,huchelewi kuambiwa bado wanakusanya Intelligence mpk leo hahahah
 
Ila Rais Nyusi Ni genius na amewafungua wengi macho,ukiona washirika wako(SADC) hawaeleweki unaenda kuomba msaada huko mbali kabisa aisee baada ya Muda kidogo utaona majirani wanakuja mbio mbio nao kutoa msaada waonekane walishiriki Hahah.
 
tulishasaidia sana hawa watu na wengine lakini wamekosa shukrani, sasa waache wapambane wenyewe....Rwanda ni rafiki maslahi hajakwenda bure pale, utasikia tu balaa lake...

Enzi zile tuliwasaidia wote hawa bure kabisa lakini wamekosa shukrani...
 
Simu moja kutoka maroon ikaenda kwa ok nyusi akawa invited kupoke maelekezo ya kuwapokea


Hakuna vya kudemka

Nae anaenda kuwapokea kwa shangwe akijua mission imeshamalizwa kitambo na wageni wake hawa wanakuja kutalii na kula per diem.
 
tulishasaidia sana hawa watu na wengine lakini wamekosa shukrani, sasa waache wapambane wenyewe....Rwanda ni rafiki maslahi hajakwenda bure pale, utasikia tu balaa lake...

Enzi zile tuliwasaidia wote hawa bure kabisa lakini wamekosa shukrani...

Kila mtu apambane na hali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…