Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

Ndi Ndio maana Marekani kila vita wapo hii inawaweka sawa sana
 
Q
Jw wanaenda kuwatawanyisha wale wavaa ndala
 
Kwenye mahojiano kati ya BBC Kiswahili na msemaji wa JWTZ tarehe 11/8 imeelezwa Tanzania pamoja na nchi kadhaa za SADCC zitapeleka majeshi Msumbiji.
Tz isingeweza kuwahi kwenda Msumbiji ilhali hao magaidi pia wanatushambulia na sisi
 
Uchambuzi bora
 
Yaa nakuongeza rank sasa utakua sajin meja!! Mkuu salute:
 
Mkuu Jeshi letu ni imara na Bora sana Africa, Tulishanusa halufu ya hawa insurgents kule Kusini Mwa Nchi yetu mtwara Na tayari border ikamalishwa zaidi kuhakikisha hawafiki kwetu, Vita ni hasara sana Vitengo vya intelligence vimeshaona hakuna sababu ya kuingia kichwa kichwa kule mana mizizi iko deep sana kwenye hayo maeneo yote ambayo yako covered Na Millitants we are very aware
 
Kwa ufahamu wangu mimi hii inaweza kuwa moja ya sababu, ...vuta picha kinachoendelea kenya pamoja na wale wana mgambao wa AL-SHABAB. Waasi wakiwa eneo la karbu na mpaka wa nchi yako na kama utaunga mkono kupigana nao basi tayari watakuona wewe ni adui kwao hivyo ni rahisi kupenya na kufanya mashambulizi nchini kwako. Hivyo nchi zilizo mbali na eneo la uwanja wa medani huunga juhudi haziwezi kupata athari ya moja kwa moja. Kuna article moja ya UNITED NATIONS inaelezea vizuri kipengele hiki, nitakiweka hapa kama reference.
 
Well said [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Umeamua kumkomoa mleta mada sio
 
Umesahau kusema na Kagame ni rafiki sana wa France kwa hiyo France wanalitumia jeshi lake wanavyotaka - hapo ndipo ungeonyesha jinsi gani situmii akili kidogo
 
Kwanza usinilishe maneno. Pili jifunze tena maana ya neno naive
 
Msunbiji wameomba msaada kwa majeshi ya SADC ,na sasa wap huku vikosi vyte vimekamilika kuanza msako wa waasi .Jeshi la msumbiji liligawanyika na kuzidiwa na waasi
Walisema hawataki SADC wanataka USA!
 
Halafu kingine urafiki upi anao sema na msumbiji wakat waliwafukuza watanzania na kuwachukulia Mali zao kipind Cha magufuli halafu bado tunawadai pesa nyingi za kuwakomboa toka kwa mreno bado hawajalipa
 
Umesahau kusema na Kagame ni rafiki sana wa France kwa hiyo France wanalitumia jeshi lake wanavyotaka - hapo ndipo ungeonyesha jinsi gani situmii akili kidogo
😁😁😁 Kagame Ni rafiki Sana wa ufaransa kutoka lini?Macron juzi tu kwenda Kigali ndio ameshakua rafiki wa Kagame?

Hujui history ya Rwanda na France?hujui hata balozi wa France Kigali alishafukuzwa na kagame Muda mrefu tu juzi ndio wamerudisha huko huo ubalozi.
 
Idd amini tulimpiga sababu hakuwa na mahusiano mazuri na wananchi wake,so Mambo yalikuwa mseleleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…