Mkuu hamna cha matank wala nini mafuta/Gas bado yapo baharini kutoka hapo Afungi Palma yalipo makazi yao ni KM40 Mpka ilipo hyo gesi ktkt ya bahari huko sasa hivi ndo walikuwa kwenye process za kufunga plant nchi kavu kwa ajili ya kufua gesi ila ndo hvyo kabla hawajaanza ndo alshababy wakaharibu na kazi ikafungwa!Hivi kwa nini waasi hawakuyalipua hayo matank ya wafaransa au hawakupewa ruhusa na wakubwa wao wa Tz
Ninaposema ina mizizi Rwanda kwani inamaana gani? Si ni pamoja na hilo..Umesahau kusema na Kagame ni rafiki sana wa France kwa hiyo France wanalitumia jeshi lake wanavyotaka - hapo ndipo ungeonyesha jinsi gani situmii akili kidogo
Hivi hizi taarifa mnazitoa wapi hadi sasa waliouliwa wametajwa 30 wa shambulizi la kwanza na 13 shambulizi la pili unaposema wamemaliza kazi unataka kutuaminisha idadi yao ilikuwa ndio hiyo wakati bado kuna maeneo bado hayajakombolewa bado Rwanda wanafanya kazi haswa ila sio ndio kuwapa sifa zisizokuwa za kwao bado mapema tuombe mungu watoboekifupi SADC wametia aibu sn...yaani walikuwa wanawaogopa wazee wa suruali fupi Rwanda wamemaliza kazi ndani ya wiki 3 tu kazi imeisha...sasa eti Sadc sijui wanaenda kufanya nini wakati hkn walichokifanya zaidi ya miaka 3 nyuma