Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

Ndio maana inashauri kwamba wakati wote tuzoee kutumia VPN maana mtandao sio salama
 
Uwezi kuwalaumu wafanyakazi wa TCRA kwakua wao wanapokea maagizo.
Wengi hawafuraishwi na yanayo endelea ila wanafuata maelekezo, Ata uyo mkurugenzi wa TCRA hawezi kukataa maagizo wakati ana familia Ina mtegemea.
 
Ilibidi wakatae ili serikali iwateke.
 
Ikiwa raisi na mawaziri wake wanatumia VPN kutoa habari za kitaifa X sembuse hao vijakazi wa TCRA.

Halafu hebu tujifunze kutumia vitu bila kuvifanyia ngonjera. Wote tunajua kuwa tunatumia VPN ila kuna baadhi imekuwa kama ni kitu cha ajabu mpaka kufungua nyuzi za VPN.
 
MOI nimeona wamepost leo humu. Wanatumia.
 
Back
Top Bottom