Lazima mjue kutofautisha

paa na paa,

kaa na kaa,

mwanga na moto,

mchanga na vumbi,

hewa na upepo.
 
Uchafu na takataka,msitu na kichaka, kelele na mayowe
 
Ubwabwa vs wali
Shauku vs hamu
Mchakamchaka vs Riadha
Die vs a Die
Kisiki vs gogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…