Ona hii Pusi em tuambie mwaka gani 5imba alitoka kucheza final then msimu unao fata akafika robo hata mapinduzi cupWalifungwa goli 5, wakajibu mwaka jana.Bado rekodi ya goli 6 hawajaifikia.
Simba walicheza fainali CAF,yanga wakacheza pia halafu wanatamba kufanya marudio.
Simba amezoea kuingia robo fainal klabu bingwa,yanga yenye timu nzuri nayo imeingia lakini kwa vile Simba hawajavuka hatua hiyo,yanga hawawezi kuvuka.Lazima Simba waanze kwanza.
Yapo mengi Simba wameanza,yanga anafuata.Ni kama motivation ya yanga ni wivu dhidi ya simba,kitu ambacho sio kibaya.Lakini wakitaka waende mbali,waiache Simba itangulie kwanza
Ni kweli hata kufungwa home and away na Al Ahly mmeanza nyieYanga kwa kila Kitu lazima waige kwa simba.
Lazima simba aanze kwanza ndipo yanga nae atafanya.
NB. Ni kwa kila kitu.
Simba ni role model wa Yanga.Ni kweli hata kufungwa home and away na Al Ahly mmeanza nyie
Simba alifuka lini finali ya confederation.Walifungwa goli 5, wakajibu mwaka jana.Bado rekodi ya goli 6 hawajaifikia.
Simba walicheza fainali CAF,yanga wakacheza pia halafu wanatamba kufanya marudio.
Simba amezoea kuingia robo fainal klabu bingwa,yanga yenye timu nzuri nayo imeingia lakini kwa vile Simba hawajavuka hatua hiyo,yanga hawawezi kuvuka.Lazima Simba waanze kwanza.
Yapo mengi Simba wameanza,yanga anafuata.Ni kama motivation ya yanga ni wivu dhidi ya simba,kitu ambacho sio kibaya.Lakini wakitaka waende mbali,waiache Simba itangulie kwanza
Utateseka sana na akili ulizobebeshwa na akina manara.Simba alifuka lini finali ya confederation.
Inaonesha namna gan unateseka mkuu na unaichosha akil yako kwa kulazimisha iwe sahihi.Utateseka sana na akili ulizobebeshwa na akina manara.
Simba ni role model wa yanga