Lazima Simba waanze kufanya kwanza ndipo yanga afuate

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Walifungwa goli 5, wakajibu mwaka jana.Bado rekodi ya goli 6 hawajaifikia.

Simba walicheza fainali CAF,yanga wakacheza pia halafu wanatamba kufanya marudio.

Simba amezoea kuingia robo fainal klabu bingwa,yanga yenye timu nzuri nayo imeingia lakini kwa vile Simba hawajavuka hatua hiyo,yanga hawawezi kuvuka.Lazima Simba waanze kwanza.

Yapo mengi Simba wameanza,yanga anafuata.Ni kama motivation ya yanga ni wivu dhidi ya simba,kitu ambacho sio kibaya.Lakini wakitaka waende mbali,waiache Simba itangulie kwanza
 
e234e06fc36e4e9d954343749d0d6b2e.jpg
 
Ona hii Pusi em tuambie mwaka gani 5imba alitoka kucheza final then msimu unao fata akafika robo hata mapinduzi cup
 
Yanga kwa kila Kitu lazima waige kwa simba.

Lazima simba aanze kwanza ndipo yanga nae atafanya.

NB. Ni kwa kila kitu.
 
😅😅😅😅 mmenyooshwa hamna utetezi wowote, saizi mpo kutafuta vitu vya kipuuzi kujaza Seva jf tu. Hivi wewe na baba yako nani alianza?.
 
Walifungwa goli 5, wakajibu mwaka jana.Bado rekodi ya goli 6 hawajaifikia.

Simba walicheza fainali CAF,yanga wakacheza pia halafu wanatamba kufanya marudio.

Simba amezoea kuingia robo fainal klabu bingwa,yanga yenye timu nzuri nayo imeingia lakini kwa vile Simba hawajavuka hatua hiyo,yanga hawawezi kuvuka.Lazima Simba waanze kwanza.

Yapo mengi Simba wameanza,yanga anafuata.Ni kama motivation ya yanga ni wivu dhidi ya simba,kitu ambacho sio kibaya.Lakini wakitaka waende mbali,waiache Simba itangulie kwanza
Simba alifuka lini finali ya confederation.
 
Yaani Simba mnajipa matumaini kupitia Yanga. Lini mlitoka droo kavu 1st and 2nd leg robo fainali zote mlizoingia?

Jana mmepigwa nje ndani badala ya kukaa na kutathamini uhai wa timu yenu mpo busy na mambo ya Yanga
 
Back
Top Bottom