Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado hujampata mpishi mzuri,. karibu kwangu, lazima uzipende nakwambia....
ahaaa kibao kata ndo nini? nasikia ukichanganya na asali the uchambie wine kitu kinakuwa super balaa,hebu jaribu uje uniambiehivi vibao kata vitakuchanganya shosti, ni myth tu hiyo! Ule utelezi ni function ya hormones aka vichocheo. Kubalance hormones kula chakula bora, fanya mazoezi na epuka obesity na kuugua kunakopelekea matumizi ya antibiotics, bhaaaas! Mengine ni urithi!
dah kumbe,sasa unapaka uko au unakula?hasa wanawake wajawazito coz inarahisisha wakati wa kujifungua hujikakamui sana, utashangaa mara chap mtoto huyo, hii ni kwa mujib wa mama yangu jaman.hasa ujauzito wa miez 7 na kuendelea
Mie bwana bamia halipandi ng'ooooooooooo. Hata nikipika sionjiiiiii.
duuuh utaharisha bwana ..khaasasa kama lenyewe halipandi utaiweza juice yake kweli? mm napenda sana juice ya bamia,huwa nazisaga zikiwa mbichi siwek chochote zaidi ya limao ,hebu jaribu na wewe leo
hivi ni kweli ukila uko ikulu kunateleza?ukila kwa wingi si kupaka bana hahahaha,
duuuh utaharisha bwana ..khaa
teh teh ngoja na mimi nianze kunywa .ila ni kweli vitu vya asili ni bomba sana vya kizungu tumuachie@Kongoshokhaa! jamani kwann niharishe, wala siharishi wala nin mambo yoote huwa shwari tuu, mi nakuambia hutumii nguvu nyingi kuwasha moto,kidogo tu ushakolea,. unajua sis tunadharau vitu vya asili kama hivi ambavyo wazaz wetu walitumia tunaishia kukimbilia mavilainishio ya kidhungu, we kipindi hicho unakuta kina mama wanafanya kazi mchana kutwa bado hajapata kipigo kwa waume zao then akifika kwa kitanda kunalainika bila yeye kupenda hata kama mudi hana maana mzee akianzisha uchokozi akiwa anaomba msamaha baaas,....
sasa kama lenyewe halipandi utaiweza juice yake kweli? mm napenda sana juice ya bamia,huwa nazisaga zikiwa mbichi siwek chochote zaidi ya limao ,hebu jaribu na wewe leo
mi sina mume bwana.so bora kutulie kwanza nikianza kupachokoza nitakigawa bureeee???????umeonaeee,.try it best
Nasikia kwa wanawake wale wenye tatizo la ukavu wakati wa tendo ni dawa inaleta utelezi huko ikulu bamia na nyanya chungu
ngoja nilete maelezo ya hiyo dozi hapa
kumbe ni kweli nilidhani ameline ananidanganyaila jambo ambalo huwa naamini ni kwamba bamia humfanya mama mjamzito ajifungue kwa wepesi yaani mtoto huteleza pasi kumchana binafsi nimekuwa nikila na mara zote nilizoenda leba sijachanika wanapita kama puje tu.
utelezi upo sitaki mwingine kwa sasa,sitaki kuingia majaribunioooooh good, basi we anza kuanzia sasa coz si hakuna anaekuchokozaa? wakat ukifika tu mambo yote shwarrri
utelezi upo sitaki mwingine kwa sasa,sitaki kuingia majaribuni