Lazima uupende mlo huu

Lazima uupende mlo huu

hivi vibao kata vitakuchanganya shosti, ni myth tu hiyo! Ule utelezi ni function ya hormones aka vichocheo. Kubalance hormones kula chakula bora, fanya mazoezi na epuka obesity na kuugua kunakopelekea matumizi ya antibiotics, bhaaaas! Mengine ni urithi!
ahaaa kibao kata ndo nini? nasikia ukichanganya na asali the uchambie wine kitu kinakuwa super balaa,hebu jaribu uje uniambie
 
hasa wanawake wajawazito coz inarahisisha wakati wa kujifungua hujikakamui sana, utashangaa mara chap mtoto huyo, hii ni kwa mujib wa mama yangu jaman.hasa ujauzito wa miez 7 na kuendelea
dah kumbe,sasa unapaka uko au unakula?
 
Mie bwana bamia halipandi ng'ooooooooooo. Hata nikipika sionjiiiiii.

sasa kama lenyewe halipandi utaiweza juice yake kweli? mm napenda sana juice ya bamia,huwa nazisaga zikiwa mbichi siwek chochote zaidi ya limao ,hebu jaribu na wewe leo
 
duuuh utaharisha bwana ..khaa
 
duuuh utaharisha bwana ..khaa

khaa! jamani kwann niharishe, wala siharishi wala nin mambo yoote huwa shwari tuu, mi nakuambia hutumii nguvu nyingi kuwasha moto,kidogo tu ushakolea,. unajua sis tunadharau vitu vya asili kama hivi ambavyo wazaz wetu walitumia tunaishia kukimbilia mavilainishio ya kidhungu, we kipindi hicho unakuta kina mama wanafanya kazi mchana kutwa bado hajapata kipigo kwa waume zao then akifika kwa kitanda kunalainika bila yeye kupenda hata kama mudi hana maana mzee akianzisha uchokozi akiwa anaomba msamaha baaas,....
 
teh teh ngoja na mimi nianze kunywa .ila ni kweli vitu vya asili ni bomba sana vya kizungu tumuachie@Kongosho
 
sasa kama lenyewe halipandi utaiweza juice yake kweli? mm napenda sana juice ya bamia,huwa nazisaga zikiwa mbichi siwek chochote zaidi ya limao ,hebu jaribu na wewe leo

subutuuuuuuu
 
Nasikia kwa wanawake wale wenye tatizo la ukavu wakati wa tendo ni dawa inaleta utelezi huko ikulu bamia na nyanya chungu
ngoja nilete maelezo ya hiyo dozi hapa

ila jambo ambalo huwa naamini ni kwamba bamia humfanya mama mjamzito ajifungue kwa wepesi yaani mtoto huteleza pasi kumchana binafsi nimekuwa nikila na mara zote nilizoenda leba sijachanika wanapita kama puje tu.
 
mi sina mume bwana.so bora kutulie kwanza nikianza kupachokoza nitakigawa bureeee???????

oooooh good, basi we anza kuanzia sasa coz si hakuna anaekuchokozaa? wakat ukifika tu mambo yote shwarrri
 
ila jambo ambalo huwa naamini ni kwamba bamia humfanya mama mjamzito ajifungue kwa wepesi yaani mtoto huteleza pasi kumchana binafsi nimekuwa nikila na mara zote nilizoenda leba sijachanika wanapita kama puje tu.
kumbe ni kweli nilidhani ameline ananidanganya
mi dokta wangu wa kweli hapa jf ni Kongosho ngoja aje anithibitishie hii tiba
 
Last edited by a moderator:
kumbe ni kweli nilidhani ameline ananidanganya
mi dokta wangu wa kweli hapa jf ni Kongosho ngoja aje anithibitishie hii tiba

siwez kukudanganya dearest Smile, tumsubiri na Kongosho kama ulivyosema ili aje kuclear doubt
 
utelezi upo sitaki mwingine kwa sasa,sitaki kuingia majaribuni

hahahahhah! yaani mbavu sina dah!! mie ngoja nikazane kuyala ili siku ya kuzaa triplets wangu wateleze tu.
lkn ni kweli huwa yanaongeza utelez maeneo. natura KY gel lolz!
 
Back
Top Bottom