GISAMBO
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,218
- 1,988
Stori ni zile inaama awa watu awaogopi kabisa mamlaka kama mmeshindwa kabisa Ku track hizi platform nyie pigeni block namba wanazo weka kupokelea pesa mbaya zaidi wanaolizwa wengi ni choka mbaya kabisa.
Mtu yupo Mlimba huko eti ananipigia Mimi ananishauri kuna biashara online sijui nitapiga pesa ni ndugu yangu itabidi nianze kumsanua lakin ni too late washamlamba 20 yake
www.goldmansachs.cv
Mtu yupo Mlimba huko eti ananipigia Mimi ananishauri kuna biashara online sijui nitapiga pesa ni ndugu yangu itabidi nianze kumsanua lakin ni too late washamlamba 20 yake