Le Baharia amuonya Diva Loveness

Mwambie ukweli tu jamani!? Akili zipi hizo sasa? Angekua na age ya kina belle 9 angalau au Ben Paul ungesema kijana anajituma,.... Hapa unamuitaje sasa




- Hii ilikuwa Jumamosi nilikuwa natoa Speech at wanafunzi UDSM ok boss hahahahahahahaha eti wewe umesahwahi kualikwa Mliman kutoa hata ujinga wako unaondika hapa kwa majina ya bandia? hahahahahahaha

le Mutuz
 




- Hii ilikuwa Jumamosi nilikuwa natoa Speech at wanafunzi UDSM ok boss hahahahahahahaha eti wewe umesahwahi kualikwa Mliman kutoa hata ujinga wako unaondika hapa kwa majina ya bandia? hahahahahahaha

le Mutuz

Le babu jinga.....zee zima unajisifia ujinga hapa....enzi zako zishapita... Tuachie wajukuu zako sasa. Nikikwambia ninacho Fanya na nilivyo vifanya kwa umri wangu utajidharau.
 
Le babu jinga.....zee zima unajisifia ujinga hapa....enzi zako zishapita... Tuachie wajukuu zako sasa. Nikikwambia ninacho Fanya na nilivyo vifanya kwa umri wangu utajidharau.




- Sasa mbona wewe babu janja hawajakualika Chuo Kikuu cha UDSM? hivi unafikiri wanaweza kumualika mjinga mjinga anyetumia majina ya bandia kutukana watu humu kama wewe? hahahahahahaha pole sana haya mambo tuachieni sisi wenye AKILI KUBWAZZZZ tukiingia humu tunalipwa wewe unajza bando na hupati kitu humu hahahahahahahaha U know babu janja hahahahaha le mburulazzzzz mazafantazzz

le Mutuz
 

60 's kweli kwa post hizi..... Hahahahaaaaaaaa......
 
Le Mutuz watu wanakuonea wivu mazee, le mutuz mutu asiye na hasira anayekutana na vikwazo kibao na maneno kibao...
Ila ndio cost za social media hizo mazee..
 
Hahaa h lemutuz "sio kwa sifa hizi"
 
Sasa tangu lini balozi wa voda ila hatumii namba ya voda anatumia ya tigo?
What a mess!!
 
ni vyema pia tukafahamishwa hilo kongamano limeandaliwa na UDSM au taasisi nyingine? isije kuwa imeandaliwa na taasisi nyingine ila limefanyikia katika ardhi ya UDSM halafu watu wanajisifu bure....

"Kongamano hilo lililoandaliwa na 'taasisi ya HER INITIATIVE' lilihudhuriwa na wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya Dar es Salaam na wasichana wajasiriamali pamoja na wageni kadhaa wakiwemo, Ruge Mutahaba, Le Mutuz, Jennifer Shigoli, Maznat Sinare, Aika na Mhe Bona Kaluwa"

Nimefukunyua humu:- Picha: Kongamano la ‘Her Initiative’ lafanyika UDSM | Bongo5.com

Asante.
 

- HAHAHAHAH ni taasisi ya inayomilikiwa na kuongozwa na wanafunzi wa UDSM wakiongozwa na Lyen Charles Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Marketing so kwenye hilo umekosea sana hahahahaha, infact hii ni mara ya tatu in the last two years ,
- Halafu inge make a sense kama na wewe ungekuwa uliwahi kualikwa Chuo Kikuu na Taasisi nyingine za nje ya chuo hahahahahahahah U know

le Mutuz
 
60 's kweli kwa post hizi..... Hahahahaaaaaaaa......

- hahahahahaha sasa mfike mahali mkubaliane nina miaka mingapi maana kila siku mnabadilika, mlianza na 49, ikawa 51, ikawa 54, ikawa 57, ikawa 64 na mwisho ikawa Umri mmoja na Pinda hahahahahaha hebu kaeni chini mkubaliane what is what? hahahahahahahahahahha

le Mutuz
 
Kingemfaa vipi wakati watoto katelekeza na ndio walimfanya akimbie kazi ya kuzima moto NYC kwa kushindwa kulipa matunzo.

Ni ajabu jamaa la miaka 57 kutangaza kipindi cha mapenzi, sijui mapenzi gani?
Teh teh mkuu umemkosea sana Le mutuz mzee wa mababez mtindiz!!
Kwani hujamuona baba la mababaz mzee mzima Reginald Mengi anavyofaudu!!

Next time uliza hivi;
Mapenzi kitu gani??! Na sio mapenzi gani!!?
 



- Haya mambo hayahitaji hasira hapo nilikuwa namkabidhi Makamu wa Rais kitabu nilichoandika chenye kurasa 368 kuhusu Kampeni za Mitandao kwenye Uchaguzi wa Rais uliopita, haya sema ni Kitabu cha taasisi yako hahahahahahaha wewe tulia hapa ni AKILI KUBWAZZZZ wewe utaishia kufukunyua ujinga ujinga tu kwenye mitandao na majina ya bandia hujiamini unaogopa ogopa, hata mambo ya AKILI KUBWA mtuachie sisi maana mimi siogopi natumia jina na id yangu cause nina mambo makubwa na educated,

- Wewe mtumzima umeenda shule kweli unatumia majina ya bandia kutukana watu mitandaoni unajiita Great Thinker? hahahahahahahaha please guys mnaharibu majina ya watu hahahahahahah

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…