Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

chei chei chei mjombaaaa chei chei mjombaaaaa

le big show you know
 
Duh,lemutuuz anapendwa aisee.hata wanaomtukana bado wanampenda ni vile tu hawakubali kuwa wawazi.yani post yoyote ikiwekwa ya lemutuuz inavamiwa kama mpira wa kona..yana watu wako attention kabisa wanasubiria post mpya ya kuhusu lemutuuz..hata diamond na wema chamtoto kwa lemutuuz
 
FYI, Le Mutuz..... I am only 29 kijana wala si Mtu mzima, with B.A (hons) UDSM, 2007 and M.Sc. (UDSM), 2014 kwa hiyo ukilinganisha umri wangu na elimu yangu unaweza kuelewa na si kila mtu aliyepo humu ndani ana kipawa cha kujisifia elimu na it is my expectations that a huge number of members humu ndani are more educated than you but they don't want to show off their education status.....na nimekuomba uonyeshe TUSI langu katika post yangu nadhani umekosa cha kusema, kwa hiyo tusitafutiane ban bure, na kutumia jina la bandia "its none of your business" asante.

- Mkuu hakuna mtu decent Duniani anayeweza kuandika maoni yake kwa majina ya bandia na hata shule haijakusaidia kitu, shule imenisaidia mtu kama mimi ninayeweza kutoa maoni yangu hapa bila uoga wala kuficha jina langu, weka jina lako kamili kama mimi then lilia heshima until then ni wale wale tu!!

le Mutuz
 
Duh,lemutuuz anapendwa aisee.hata wanaomtukana bado wanampenda ni vile tu hawakubali kuwa wawazi.yani post yoyote ikiwekwa ya lemutuuz inavamiwa kama mpira wa kona..yana watu wako attention kabisa wanasubiria post mpya ya kuhusu lemutuuz..hata diamond na wema chamtoto kwa lemutuuz

- hahahahahahahahahaa U know wanashobokea Le Mutuz King of All bongo Social Media Network U know hahahahahaha and me I love it U know!!

Congrats brother, unafanya kazi nzuri mitandaoni we piga kazi bongo hakuna jema kila unachofanya utaandamwa tu, fitna na majungu haviishi.
 
- Kuandamwa na watu wanaotumia majina ya bandia I love it tena I can take them hata nikiwa nimelala U know hahahahaha and I lov it!!

le Mutuz
 
Watu wengi wanamfuatilia Lemutuz mitandaoni esp Instagram ndio maana watu wanajua kila anachofanya,
Tusiwakatishe tamaa watu walioamua kujiajiri na kuonyesha njia kwa wengine,Lemutuz anastyle ya kipekee ya kuwasilisha ujumbe kwa wasomaji kwa namna inavutia watu wengi kusoma,
Anafanya kazi nzuri tuwe fair.
 
- Mkuu hakuna mtu decent Duniani anayeweza kuandika maoni yake kwa majina ya bandia na hata shule haijakusaidia kitu, shule imenisaidia mtu kama mimi ninayeweza kutoa maoni yangu hapa bila uoga wala kuficha jina langu, weka jina lako kamili kama mimi then lilia heshima until then ni wale wale tu!!

le Mutuz

Le super noah wewe umekazaniaga ishu ya jina bandia miaka yote, kwa hio watu wote humu wenye majina bandia hawajiamini? alieanzisha nick name alikua hajiamini?? Hii hoja yako haina maana yoyote.
 
Humu ndani kuna a lot of people ambao ni decent wapo humu ndani na still wanatumia majina bandia hapo unasemaje sasa .. Sawa nadhani wewe imekusaidia kwa kipi? kwa kuwa na blogu si ndio au, usifanye watu waanze ku-question degree zako na hata matokeo yako maana isiwe unajisifu kuwa una degree 3 kumbe cheti kimejaa makalai (C), let me repeat what I said before "It is none of your business to know my name" unadhani waanzilishi wa JF waliosema You may opt to use your nickname au real name walikuwa wajinga au? so it is my decision to use my name or nickname, by the way heshima huwa haililiwi ila inakuja, remember I am only 29 with 2 degrees (B.A and M.Sc) from well know Institution (UDSM) na heshima kwangu itakuja tu its the matter of time....by the way ukishajua majina ya watu itakusaidia nini?
 
- Kama hoja yangu haina maana hebu weka jina lako kamili na picha hapa hahahahaha huwezi maana ni muoga shule haijakusaidia anything, shule imenisaidia mimi naweza kusimama hapa kwa jina na picha yangu bila uoga wewe umesoma shule unamuogopa nani? halafu una maneno mengi ya kutetea mediocre hahahahahahahahaa

- Chuo Kikuu wanawaita akili kubwazzz wanaoweza kuandika hapa kwa majina yao kama mimi sio wewe hawawezi kukuita cuase hujiamini ni muoga kama fisi, kama sio simama kama mimi uhesabiwe tumia jina na picha yako kama huwezi nyamaza au endelea kulia lia na majina majina yako ya bandia pole sana na inasikitisha sana

- Elimu haijakusaidia kabisa wewe na kusomakwako ni muoga muoga kama fisi, hii Dunia ni ya watu kama mimi hatuogopi tunasimama kuhesabiwa hahahaha tizama mtumzima analia eti waanzilishi wa jamiiforums ndio wametuma kuandika kwa majina ya bandia hahahahahahahaha so wewe huna akili za kufikiri mpaka uamuliwe na jamiiforums na huna hata haya kusema aibu mkuuu nyamaza tu!!

le Mutuz
 
Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati kilikuwa na mpango wa kusikika Morogoro pekee, atakayekuwa mtangazaji mpya wa kipindi cha mapenzi kutoka swahili fm ndg Lemutuz ametoa onyo kali kwa mtangazaji mwenzie wa show za usiku kutoka upande wa pili kuwa ajiandae kwa upinzani wa kiwango cha lami toka kwa gwiji ilo la mitandao.
newtab.html

Tulipomtafuta kutoa ufafanuzi wa suala hili alithibitisha "Yeah ni kweli mamen si unajua sasa napanua mitandao yangu,si unajua kihalisia mapenzi hayakuzaliwa Tanga bali yalizaliwa Mtera,yeah Le kipindizz litakuwa na wagen wa kila aina kuanzia Le supa mtindizz wenye ngozi laini kama cotton,super mogulzz and super billionez mpaka my super friend Makonda"

Kabla ya kupata nafasi hiyo bodi ya redio hiyo ilimshauri Le Baharia atangaze kipindi cha watoto cha saa nne asubuhi jmosi kutokana na uwezo wake wa kujichanganya na rika tofautitofauti kabla ya kufikia muafaka wa kubali kutangaza kipindi cha mapenzi.
Baba huyo wa watoto wawili anakuwa moja ya watu wachache sana duniani wa umri wake kuhost show kama hizo .

- Kaka nimeshakutumia vocha yako ya TSH. 20,000 unajua sisi huwa tunatimiza ahadi huwa hatuna longo longo hahahahahaha le big show le baharia le mutuz nation THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK!! au kuna anayebisha? hahahahahahaha U know

le Mutuz
 
- Chuo Kikuu wanawaita akili kubwazzz wanaoweza kuandika hapa kwa majina yao kama mimi sio wewe hawawezi kukuita cuase hujiamini ni muoga kama fisi, kama sio simama kama mimi uhesabiwe tumia jina na picha yako kama huwezi nyamaza au endelea kulia lia na majina majina yako ya bandia pole sana na inasikitisha sana

- Elimu haijakusaidia kabisa wewe na kusomakwako ni muoga muoga kama fisi, hii Dunia ni ya watu kama mimi hatuogopi tunasimama kuhesabiwa hahahaha tizama mtumzima analia eti waanzilishi wa jamiiforums ndio wametuma kuandika kwa majina ya bandia hahahahahahahaha so wewe huna akili za kufikiri mpaka uamuliwe na jamiiforums na huna hata haya kusema aibu mkuuu nyamaza tu!!

le Mutuz
- Chuo Kikuu wanawaita akili kubwazzz wanaoweza kuandika hapa kwa majina yao kama mimi sio wewe hawawezi kukuita cuase hujiamini ni muoga kama fisi, kama sio simama kama mimi uhesabiwe tumia jina na picha yako kama huwezi nyamaza au endelea kulia lia na majina majina yako ya bandia pole sana na inasikitisha sana

- Elimu haijakusaidia kabisa wewe na kusomakwako ni muoga muoga kama fisi, hii Dunia ni ya watu kama mimi hatuogopi tunasimama kuhesabiwa hahahaha tizama mtumzima analia eti waanzilishi wa jamiiforums ndio wametuma kuandika kwa majina ya bandia hahahahahahahaha so wewe huna akili za kufikiri mpaka uamuliwe na jamiiforums na huna hata haya kusema aibu mkuuu nyamaza tu!!

le Mutuz

huu mchezo hautaki hasira mzee, I give you one condition... tell us your age publicly kama unajiamini as from my side nasema am young boy aged 29 with 2 degrees (B.A and M.Sc) na wewe sema hivi Am Le Mutuz aged ..... with 3 Bachelor Degrees....Ukishindwa kutaja umri wako na wewe ni wale wale (Waoga kama Fisi)...twende kazi, Taja umri wako uone watu watakavyo tiririka majina yao...na elewa mimi si mtu mzima am Young Energetic Boy...tupe umri wako kama nilivyofanya mimi....Elewa huu mchezo hauhitaji hasira
 
- Kama hoja yangu haina maana hebu weka jina lako kamili na picha hapa hahahahaha huwezi maana ni muoga shule haijakusaidia anything, shule imenisaidia mimi naweza kusimama hapa kwa jina na picha yangu bila uoga wewe umesoma shule unamuogopa nani? halafu una maneno mengi ya kutetea mediocre hahahahahahahahaa

le Mutuz

Kwa hio siku hizi shule inasaidia mtu kutokua muoga?jifunze kujenga hoja zenye mashiko! Halafu mbona unacheka cheka kama chiriku tabia za kina nanii hizo.
 
- So unasema watu serious walioenda Shule watakuchukulia serious wewe wa jina la bandia au mimi mwenye jina kamili na picha yangu? hahahahahahahah jipime tena kama wewe na mimi tunafanana ligi ya elimu hahahahahahah

le Mutuz
 
huu mchezo hautaki hasira mzee, I give you one condition... tell us your age publicly kama unajiamini as from my side nasema am young boy aged 29 with 2 degrees (B.A and M.Sc) na wewe sema hivi Am Le Mutuz aged ..... with 3 Bachelor Degrees....Ukishindwa kutaja umri wako na wewe ni wale wale (Waoga kama Fisi)...twende kazi, Taja umri wako uone watu watakavyo tiririka majina yao...na elewa mimi si mtu mzima am Young Energetic Boy...tupe umri wako kama nilivyofanya mimi....Elewa huu mchezo hauhitaji hasira

- hahahahahahaha wewe mambo yako ni ya bandia bandia ni fake fake sasa niambie kwenye kelele zote ulizoandika upi ni ukweli na upi ni fake ake kama jina lako? hahahahahahahahahah wewe ni bandia bandia tu hata maneno yako ni bandia bandia so mimi sio size yako mimi ni AKILI KUBWAZZZ tafuta bandia wenzako ubishane nao hahahahahahahaha

- Maneno mengi bandia bandia tu eti una degreee za bandia kama jina lako labda hahahahahahahhaa U know wewe umewahi kusikia wapi Shahidi mwenye jina la bandia akasema ukweli? hahahahahahahahaha

le Mutuz
 
- So unasema watu serious walioenda Shule watakuchukulia serious wewe wa jina la bandia au mimi mwenye jina kamili na picha yangu? hahahahahahahah jipime tena kama wewe na mimi tunafanana ligi ya elimu hahahahahahah

le Mutuz

Unaona ulivo maskini wa kufikiri? Sasa umetoka kwenye jina bandia unataka kufananisha elimu yangu na yako, yani wewe ni le hewazz kichwani sijawahi kuona msomi kamili anajiwekea ligi na mwenzie kuhusu elimu otherwise ni ulimbukeni wa kupata elimu ukubwani tu.
 
Back
Top Bottom