jackline1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,142
- 2,688
We Le Mutuz ni opportunist tu,mchumia tumbo,huko inst mbona unawataja wanaotukana watu but Mange k,unashindwa kumtaja unamwogopa nini? AU unaogopa atatoa skeltons katika kabati- hahahahahahaha wewe mambo yako ni ya bandia bandia ni fake fake sasa niambie kwenye kelele zote ulizoandika upi ni ukweli na upi ni fake ake kama jina lako? hahahahahahahahahah wewe ni bandia bandia tu hata maneno yako ni bandia bandia so mimi sio size yako mimi ni AKILI KUBWAZZZ tafuta bandia wenzako ubishane nao hahahahahahahaha
- Maneno mengi bandia bandia tu eti una degreee za bandia kama jina lako labda hahahahahahahhaa U know wewe umewahi kusikia wapi Shahidi mwenye jina la bandia akasema ukweli? hahahahahahahahaha
le Mutuz



