Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

- hahahahahahaha wewe mambo yako ni ya bandia bandia ni fake fake sasa niambie kwenye kelele zote ulizoandika upi ni ukweli na upi ni fake ake kama jina lako? hahahahahahahahahah wewe ni bandia bandia tu hata maneno yako ni bandia bandia so mimi sio size yako mimi ni AKILI KUBWAZZZ tafuta bandia wenzako ubishane nao hahahahahahahaha

- Maneno mengi bandia bandia tu eti una degreee za bandia kama jina lako labda hahahahahahahhaa U know wewe umewahi kusikia wapi Shahidi mwenye jina la bandia akasema ukweli? hahahahahahahahaha

le Mutuz
We Le Mutuz ni opportunist tu,mchumia tumbo,huko inst mbona unawataja wanaotukana watu but Mange k,unashindwa kumtaja unamwogopa nini? AU unaogopa atatoa skeltons katika kabati
 
- Kaka nimeshakutumia vocha yako ya TSH. 20,000 unajua sisi huwa tunatimiza ahadi huwa hatuna longo longo hahahahahaha le big show le baharia le mutuz nation THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK!! au kuna anayebisha? hahahahahahaha U know

le Mutuz
Nimeiona Le big show,Le vocha ya 20k,big up FMES
 
Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee........Remember I am only 29 with 2 Degrees (One B.A and One M.Sc), Mbona ikija hoja ya umri unaruka ??? kuna tatizo nadhani hapo... weka Umri wako kama upo REAL la sivyo ni walewale tu Fakefake,........Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee🙂
 
- Jumamosi nilialikwa kutoa Speech at Chuo Kikuu cha Dar UDSM na "HER INITIATIVE" kuhusu wanafunzi wanawezaje kuitumia mitandao ya kijamii kunufaika nayo, hahahahahahaa wewe siku ukiitwa hata Shule yako ya Mtogole utakuwa umekufwa mazafantazzz hahahahahahahaha U know

le Mutuz

Duh...bonge la shati atakuwa anachukuaga karume jero jero
 
Unaona ulivo maskini wa kufikiri? Sasa umetoka kwenye jina bandia unataka kufananisha elimu yangu na yako, yani wewe ni le hewazz kichwani sijawahi kuona msomi kamili anajiwekea ligi na mwenzie kuhusu elimu otherwise ni ulimbukeni wa kupata elimu ukubwani tu.

- hahahahahahaha hakuna binadam mwenye elimu kubwa anayeweza kumchukulia serious mtu anayeogopa kutumia jina lake, pole sana ili mimi sio size yako too big na akili yangu kubwa sana kulinganisha na yako mpaka utakapojua kutumia jina kamili ndio utaweza kuwa na ligi na mimi hahahahahahahahahaha U know

le Mutuz
 
Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee........Remember I am only 29 with 2 Degrees (One B.A and One M.Sc), Mbona ikija hoja ya umri unaruka ??? kuna tatizo nadhani hapo... weka Umri wako kama upo REAL la sivyo ni walewale tu Fakefake,........Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee🙂

- sina huo muda wa kubishana na fake hahahahahaha weka jina lako kwanza nikuambie umri wangu kama huwezi nyamaza tu maana ni wale wale fake fake hahahahahahaha U know

le Mutuz
 
Unaona ulivo maskini wa kufikiri? Sasa umetoka kwenye jina bandia unataka kufananisha elimu yangu na yako, yani wewe ni le hewazz kichwani sijawahi kuona msomi kamili anajiwekea ligi na mwenzie kuhusu elimu otherwise ni ulimbukeni wa kupata elimu ukubwani tu.

- fungua thread za kina mange hii haihusu hata kusoma huwezi hahahahahahahahahahaha

le Mutuz
 
- Mtoto wa kiume mtumzima wanaume wanaongelea mambo muhimu ya maisha wewe unaongelea mashati yao, hahahahahaha hahahahaa umenivunja mbavu sana hahahahahaha

le Mutuz

Mkuu unatakuwa labda unajitia kipofu huoni mishati yako...Hivi umeshaanza PhD pale UDSM maana ulijipamba kweli kweli.ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu unafikiri Udsm wanaweza kukupa nafasi ya kusoma PhD kichwa upepo cha kupenda kupiga selfie kama wewe
 
#Huu Mchezo hauhitaji Hasira#
- sina huo muda wa kubishana na fake hahahahahaha weka jina lako kwanza nikuambie umri wangu kama huwezi nyamaza tu maana ni wale

Huna ubavu huo, Mtu unayejidai ni
- sina huo muda wa kubishana na fake hahahahahaha weka jina lako kwanza nikuambie umri wangu kama huwezi nyamaza tu maana ni wale wale fake fake hahahahahahaha U know

le Mutuz

Tatizo UMRI... tutaendelea kudai umri umri..... let me tell you am only 29 with 2 Degrees ( B.A and M.Sc.) tell us UMRI wako MZEE, we si unajidai hupendi FAKE....Jikubali Weka Umri wako utayaona majina ya watu wote humu ndani by the way I wonder why unadhani NZIRIYE ni fake name FYI that is my name....haya tell me your AGE kama una ubavu huo.
 
Mkuu unatakuwa labda unajitia kipofu huoni mishati yako...Hivi umeshaanza PhD pale UDSM maana ulijipamba kweli kweli.ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu unafikiri Udsm wanaweza kukupa nafasi ya kusoma PhD kichwa upepo cha kupenda kupiga selfie kama wewe

Hana ubavu huo wala qualifications, PhD my foot, kwanza aseme UMRI wake ndio aende tafuta Masters kwanza then anaweza fikiriwa kwa hatua zaidi
 
- Kaka nimeshakutumia vocha yako ya TSH. 20,000 unajua sisi huwa tunatimiza ahadi huwa hatuna longo longo hahahahahaha le big show le baharia le mutuz nation THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK!! au kuna anayebisha? hahahahahahaha U know

le Mutuz
Mkuu
Una uhakika gani kama huyo uliyemtumia ndiye MSAGA SUMU na si memba mwingine humu?!
 
big up kwa king, im humble u know kwan kwny mwny tatizo huko

- Salute maan tupo pamoja endelea kuwaelimisha le mburulazzzz kwamba I am THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK hahahahahahaa U know and I love at,

- Wengine huko ninashindwa kuwajibu maana it is too low kwangu LE AKILI KUBWAZZZZ kujibu utumbo, najitayarisha na mapokezi kesho tunampokea Neyo from US and then safari ya Mwanza kwenye Jembeka Festival tukutane huko hahahahahaha I love it U know

le Mutuz Nation
 
#Huu Mchezo hauhitaji Hasira#

Tatizo UMRI... tutaendelea kudai umri umri..... let me tell you am only 29 with 2 Degrees ( B.A and M.Sc.) tell us UMRI wako MZEE, we si unajidai hupendi FAKE....Jikubali Weka Umri wako utayaona majina ya watu wote humu ndani by the way I wonder why unadhani NZIRIYE ni fake name FYI that is my name....haya tell me your AGE kama una ubavu huo.

-

- Hii ndio Studio mpya ya Swahili TV tupo kwenye matayarisho ya mwisho kabla ya kuanza kuruka hewani mwisho wa mwezi so relax mkuu hahahahahahahahahha U know, sisi hatuna mambo ya ubandia bandia kila kitu huwe ni open ndio maana ya kuwa na elimu na AKILI KUBWAZZZZZ U know hahahahahahahahah

Big Up kwa Mosha....... kwa Ingependeza pia ungeweka na "share zako" kama zinafika hata asilimia 10% sijui maana unajua kupromote vya watu, narudi tatizo ni UMRI, #Huu Mchezo Hautaki Hasira Mzee#...Tunataka umri acha kukimbia Kujibu miaka yako, MIAKA.... YEARS.... AGE...... Twende kazi SHARE zako
 
Back
Top Bottom