William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mwambie ukweli tu jamani!? Akili zipi hizo sasa? Angekua na age ya kina belle 9 angalau au Ben Paul ungesema kijana anajituma,.... Hapa unamuitaje sasa


- Hii ilikuwa Jumamosi nilikuwa natoa Speech at wanafunzi UDSM ok boss hahahahahahahaha eti wewe umesahwahi kualikwa Mliman kutoa hata ujinga wako unaondika hapa kwa majina ya bandia? hahahahahahaha
le Mutuz
