Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha diva a jiandae na upinzani wenye kiwango cha lami
Cc Nifah
Teh TehHahahahaaaaaa
Hivi JamiiForums mnasubiri nini kumpa MSAGA SUMU tuzo ya heshima?
Sio kwa kutuchekesha huku.
Aiseeehii nchi ina mambo mengi eti kipindi cha watoto Mara kipindi cha mapenzi.
Swala ni pesa....du, hii kali sana. baba yule na mwili wake wote ule atatangazaje kipindi cha KIKE kama hicho?
Bila kusahau card ya mualiko kwaajili ya Dinner pale double tree...Lol
Subiri kupokea Le Super Hawwwt Kiss kutoka kwa Le Billionaire u know....
last MASS ni TUNGAMO ya mwisho. mkuu yuko vizuri sana kwa kimombo.Naomba unieleweshe mkuu maana naona nazeeka vibaya. 'Last mass' ndo nini
Ajabu kweli, mapenzi yenyewe yalimshinda kaacha mke, na kila siku wachumba wanamkimbia hayo mapenzi atakayo tangaza ni mapya dunia hii,Kingemfaa vipi wakati watoto katelekeza na ndio walimfanya akimbie kazi ya kuzima moto NYC kwa kushindwa kulipa matunzo.
Ni ajabu jamaa la miaka 57 kutangaza kipindi cha mapenzi, sijui mapenzi gani?
TEH Teh nimecheka sana hasa pale alipotaka kupewa kipindi cha watoto...duu jamaa ana mwaga sumu..
Mimi nimecheka mpaka nikagalagala.....Teh Teh
" Baba huyo mwenye watoto wawili atakuwa mtu wa kwanza duniani kwa umri wake kutangaza kipindi cha aina hiyo" aisee hapa nusu panipasue kichwa kwa kicheko.
Haha haha a leo nimeona katupia picha akiwa kwenye FastJet anaelekea zake Johannesburg.Bila kusahau card ya mualiko kwaajili ya Dinner pale double tree...
Hahahah...Nilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.
Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.