Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

msaga sumu katika ubora wake nimecheka sana unampatia sana jamaa tangu aliporudi Na mtaji Wa dola 500 bongo
 
Kwa mikogo yake mingi alifaa awe mmoja wa wakurugenzi hii mambo ya kutangaza wapi na wapi.?
 
Ha ha ha diva a jiandae na upinzani wenye kiwango cha lami
Cc Nifah

Nilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.

Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
du, hii kali sana. baba yule na mwili wake wote ule atatangazaje kipindi cha KIKE kama hicho?
 
Kingemfaa vipi wakati watoto katelekeza na ndio walimfanya akimbie kazi ya kuzima moto NYC kwa kushindwa kulipa matunzo.

Ni ajabu jamaa la miaka 57 kutangaza kipindi cha mapenzi, sijui mapenzi gani?
Ajabu kweli, mapenzi yenyewe yalimshinda kaacha mke, na kila siku wachumba wanamkimbia hayo mapenzi atakayo tangaza ni mapya dunia hii,
 
TEH Teh nimecheka sana hasa pale alipotaka kupewa kipindi cha watoto...duu jamaa ana mwaga sumu..
Teh Teh
" Baba huyo mwenye watoto wawili atakuwa mtu wa kwanza duniani kwa umri wake kutangaza kipindi cha aina hiyo" aisee hapa nusu panipasue kichwa kwa kicheko.
Mimi nimecheka mpaka nikagalagala.....
Aibuuuuu!!!
Huyu MSAGA SUMU sio mtu mzuri.
 
Nilikuwa nasubiri aseme ni kipindi cha watoto, mwanangu ningempeleka fasta. Ningekosa muda ningemtuma Benny au Kaboom kama siyo Heaven Sent kumpeleka dogo akajifunze mbinu za kuwa Super Billionea akili Kubwa Digrii tatu zote za US.

Na tena angemlink na Super Billioneas (super moguls). Ila hiki cha mapenzi dah sijui itakuwaje. Nifah itabidi ulete mrejesho day one kikiruka hewani.
Hahahah...

naona unamtengenezea mwanao njia bora za kupata breakfast Double tree hilton...
 
Back
Top Bottom