Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
"YULE DEMU" alidhalilishwa kijinsia na lebaharia amefanya jambo la kiungwana sanaaaaa pale! Angekuwa mwanao?ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
Hawapatani mileleeee its a done deal!watapatana tu
Hawapatani mileleeee its a done deal!
Processor za huyu bwana huwa nashindwa kuzielewa zinavyofanya kazi.
He is too old for this. aachie watoto hizi vitu.
Le baharia kanichekesha Instagram eti angeambiwa yeye ni mbaya angekosa usingizi
afadhali kaambiwa shida yake ni kitambi tu hivo atakishughulikia
ha ha ha hapa ndo sionagi umuhimu wa kigezo cha umri kwenye ndoa
unaeza kuwa na mtu mzima ila ni mzigo, tena zigo la misumari hata kulibeba huwezi....
KAJALA mzuri sana kuliko wema !
My take
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
afu anaandika kwa kujifaragua kuwa wema na kajala n rafk zake .wema na kajala ndo super stars gan.afu wema pesa hakutoa yeye ulisahau kusema.
BUT leo nimegundua kitu kwenye siasa article zako zinanisumbua sizipendi hazvutii ila huku tee una swag
let him be, kupanga ni kuchaguwa yeye ndio maisha aliyoyachaguwa, hujui huyo ccm yupo jumuiya ya wazazi? na the same time ni mjumbe wa uvccm.
usiulize mimi kama kuna vijana wa miaka 50+ nenda lumumba utapata ufafanuzi au humu tafuta id ya mwanadiwani muulize yeye atakujibu.
Hahaaaaaa! Mtoto MNAFIKI YULE KUOMBA MSAMAHA KWENYE MEDIA,!!!!? Hana lolote! Tuico ndo najipanga kuanza mchakato!Inaonekana una details za ndani..kabisa....kajala mbona kahojiwa anataka yaishe? Ya tuico umefikiaje?