Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
ulikuwa kwa yule demu wa ifm eti unasolve kesi now upo kwa wema against kajala yani we jombaa nyapu zitakukili
let him be, kupanga ni kuchaguwa yeye ndio maisha aliyoyachaguwa, hujui huyo ccm yupo jumuiya ya wazazi? na the same time ni mjumbe wa uvccm.
usiulize mimi kama kuna vijana wa miaka 50+ nenda lumumba utapata ufafanuzi au humu tafuta id ya mwanadiwani muulize yeye atakujibu.