kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .
Like a big bear........hibernating from real life
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .
Wewe Kubwa jinga tu Sasa Kama Ulikuwa na nia ya kuwajulia hali Kwa nini hukwenda kimya kimya? Unajitangaza ili iweje ?
Ma nigga for real!
- Inaitwa relaxations ukichoka na kazi unapumzika hahahahahahahahhhaha Relaxing
le Mutuz
HAHAHAHAMkuu wa mkoa wa shinyanga
ndio hivyo tena, sikutegemea mtoto wa mpinga ufisadi afanye hayo aliyofanya.
Kweli sasa naamini kwa nini watu wanamwita huyu jamaa kubwa jinga.
Mgogo ni mgogo tu. Hata awe na degree 80 atabaki kuwa mgogoLike a big bear........hibernating from real life
Siku lemutuz akijibu kuhusu umri wake wa ukweli basi Magufuli atamteua Lowassa kuwa waziri mkuu hahahaa kikongwe mdananda.- hahahahahahahaha umri sawa na wa Pinda U know hahahahahaha
le Mutuz
Mind your grammer- Relaxing IN my home , you are inside your home! Hahaha
Kaka mkwara huo...hahaaaaAlikuwa anaangalia mabega yangu yamebeba nini kulinganisha na ya kwake
Siku lemutuz akijibu kuhusu umri wake wa ukweli basi Magufuli atamteua Lowassa kuwa waziri mkuu hahahaa kikongwe mdananda.- hahahahahahahaha umri sawa na wa Pinda U know hahahahahaha
le Mutuz