Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mtoto wa kufikia wa mkuu wa mkoa William Malechela alienda kumsalimia mtuhumiwa wa wizi wa fedha za umma na kumkuta akiwa na hali mbaya ameomba watu waende kuwajulia hali. Bwana William aliambatana na mfanyabiashara maarufu bwana Mosha. Pia alipita kusalimia watuhumiwa wengine walioko mahabusu kwa makosa mbali mbali, hongera kaka kwa moyo wa Upendo. siku ingine tujulishe tuambatane manake huko panatisha unaweza ingia ukang'ang'aniwa.
hii ndio apartment ya Jamuhuri St..mbona viti vimechoka mbaya..vichafuLike a big bear........hibernating from real life
Hapo ni kwenye kochi LA baba ake?Like a big bear........hibernating from real life
- hahahahahahaha sure ni afadhali kuwa kubwa jinga kuliko kuwa kama wewe dogo jinga, eti ofisi yako ipo wapi hapa mijini maana yangu hii hapa ipo hapa Sokoine Drive at Tancot House hahahaaha dogo jinga jina la bandia picha ya bandia ndio maana ya dogo jinga le mburulazzz hahahahahaha U know
le Mutuz
hivi lina cheo gani ccm?Hilo jitu hata ccm wenyewe hawalitaki tena kwenye vikao vyao maana wanajua halikawii kutupia picha hata Kama watakubaliana ni kikao cha Siri
Lemutuz ni nyara ya serikalihivi lina cheo gani ccm?
Unambiwa mtoto akui kwa mzazi.Hapo ni kwenye kochi LA baba ake?
Siku lemutuz akijibu kuhusu umri wake wa ukweli basi Magufuli atamteua Lowassa kuwa waziri mkuu hahahaa kikongwe mdananda.
Mind your grammer- Relaxing IN my home , you are inside your home! Hahaha
Nyumba aliyoijenga kinyerezi toka akiwa majuu aijaisha mpaka leo. Sasa ni gofu tu, makazi ya wacheza kamari
Haaaaa haaaa haaaa u made my dayKubwa jinga Le Mutuz hata likienda chooni kujisaidia hujipiga picha , linapenda picha kupita kiasi , miaka 54 bado linakaa Kwa wazazi huku likiendekeza Upambe Kwa Vijana ambao ni wadogo kwake kiumri , mfano Huyo Devis Mosha ni Mdogo kwake lakini akipata nafasi ya kukutana nae lazima aanike picha !
Ni wakati Le Mutuz ufanye mazoezi kupunguza mafuta mwilini Akili zikuludie maana mafuta yamezidi hadi Ubongo wote unaelea juu ya mafuta .
Haaaaa haaaa haaaa u made my day
Yeah bro make em money , Big super star if you were in state you could have been driving Lamborgin but with Noah life is good and a lot of followers what mo do you need bro , keep hustling bro- So far page 6 Viewers 10,000 ndio maana ya Big Celebrity yaani Super Star I love it unajua hakuna bad Publicity na Social Media is my Business so no matter what you guys are just dancing to my tunes hahahahahahahaha
le Mutuz
Yeah bro make em money , Big super star if you were in state you could have been driving Lamborgin but with Noah life is good and a lot of followers what mo do you need bro , keep hustling bro