Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.

Nyasamaki

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,055
Reaction score
595

Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno haya Hapa Chini:



 
Angalau kuna moja nimeambua kuwa..waweza sema wanawake wote hawafai kumbe usiefaa ni wewe.....


Ila hii mitandao mingine angewaachia wengine......(sawa...kila mtu ana uhuru wa kuamua atakacho)
 
ukiwa na umri wa huyu jamaa halafu hujao ni tatizo sana...pia kujump stage ya makuzi ni mbaya sana ,,sasa jama vitu ambavyo alipaswa kufanya akiwa 30's anafanya akiwa late 60's
 
Labda ndo wale ambao wapo desperate na ndoa, anawaza umri umeenda akaona bora alichague hilo koroma...walau na yeye aweke heshima mjini...!

Sio heshima ni kujitia aibu tu,heshima inakuja pale unapoolewa na mwanaume anayeheshimika....
 
Sio heshima ni kujitia aibu tu,heshima inakuja pale unapoolewa na mwanaume anayeheshimika....

Umesema kweli...ukute wote ndo wale wale...mwanamke mwenye akili zake hawezi kujiweka hapo......!
 
Nyasamaki
Haya mashaka mie nilikua nayasikia jina tuu kumbe ndio alivyo hivi eeh? na anapesa mbona haonyeshi au jina tuuu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kipindi kile si vikao vya harusi vilikuwa vimeanza? Coz nakumbuka wale friends zake le mutuz ambao ni billionaires walisema harusi yote wataigharamia wao na le mutuz akasema if possible harusi itafanyikia uwanja wa taifa sijui vile?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom